Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
all watutsi mliopo humu jamvini noted,
subiri tuwa-track hadi location point zenu nyinyi mb.wa,
tutaanza na nyinyi kabla ya kumfata bwana wenu KAGAME,

Yale yale ya UKABILA wanaCCM hua mnapenda kuwaita watu halafu unasema wewe ni "Mtaifa" hakuna utaifa hapo, ukisha waita wenzako kwa makabila yao... umeuvua utaifa wao tayari....utaifa unatokana na "multicultural tolerance" ukiona unapata shida na kabila fulani jua wewe ni MKABILA ....!

Wawe Watutsi au vinginevyo laazima uwe "objective" iliupate picha ya maono yao kuweza kufikia muafaka au hiyo vita .... Mbwa hubweka na hua haeleweki anachokitaka....ajabu hapa wewe ndo haueleweki unachokitaka ... Naamini kwa maelezo haya umejua MBWA ni nani....!
 
tanzania haiwezi kutegwa eac unajua kwanini pk lazima ajipendekeze kwa uhuru ni kwa woga tu anajua tz ikifunga mpaka hana pakupitishia mizigo,kenya inahitaji tz sana kama soko lake kubwa la bidhaa zake, kenya haihitaji rwanda kwa lolote hata hivyo watz wengi hatutaki hii eac kabisaa, fuatilia riport ya tume ya prof wagwe[/QUOTE

Ni Kikwete aliitaka EA kwakuwa kulikua na hela kutoka EEU kwaajili ya "FAST TRACK EAST AFRICAN COMMUNITY" akadharau SADC kwakuwa ilianzishwa na NYERERE .... sasa yanamtoka puani MALAWI anahaha na SADC anaomba msaada vinginevyo apeleke majeshi huko kabla halijaisha la Malawi kaleta la RWANDA ..., kisa UFARANSA na hela zao haya.....!
 
Kauli ya Pinda ina apply hata kwa huyu: Mpigeni tu maana nasi tumechoka!

Nasema wapigwe tu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa ni zamu yangu kushangaa. Nilikuwa nategemea attacks kwa kauli nilizotoa. Ile ilikuwa ni reaction,ilikuwa siyo considered response. Kama kulikuwa na complaints kutoka Rwanda,na zile complaints zilitoka at the highest levels,basi Serikali yetu ilipaswa kuzichukulia seriously,na siyo kujibu kwa kejeli. Halafu timing yake ilikuwa siyo nzuri. At that time kulikwa na war criminal wa Rwanda amekamatwa London,na Waingereza walikuwa wameshakubali kumrudisha Rwanda,it is at that time,ndio Kikwete akasema maneno yale.
 
Mkuu! Kama mtu mzito kuread between the line, ngumu sana kukuelewa. Sasa ninakuelewa
 
HE Kagame, with all due respect, you are spoiling the youth. Force only offers temporary solutions. Please find it in your heart to practice forgiveness. James Chap 3 teaches to tame our tongues!
 
Kweli mkuu uliyo yasema as if nawe umetokea kanda ya ziwa nilisha kuwa na mahusiano na myarwanda mmoja mwanzoni tuu alinionyesha style fulani nikastuka haraka sana na mtu akanidokeza kwa makini na nimyarwanda wa kiume aliniambia kuwa makini na hao dada zangu nawajua nika katisha kabisa mahusioano.

Mbali na hilo Kagame ile kuitisha vikao vyao yeye kenyata na museveni tulikijua fika na wanajifanya wana jua sana Poa hii nasi tutajipanga ingawa inatuuma kiasi fulani ila upande mwingine Museveni anatambua fika wapi alitoka na ndio maana haongei kabisaaa ako kimya kimya me nadhani imefika sasa muda viongozi wetu tuwe very strong kwenye hii EAC na hao wote wanaogopa kabisa wana mashaka nasi kuwa twaweza toka any time kwa EAC maana kuna mikutano mingi inayo endelea huku arusha baadhi ya wajumbe ukiwauliza wana dai kuwa kuna tetesi TZ twajiandaa kujitoa na hiyo kwangu ni bora nasi tujipange kiuchumi najua hawa wote walio tuzunguka sie ndio mama na baba zao na tukifunga boarder zote kimya kina isha chote, Sasa ni jinsi sisi serikali yetu kujipanga na kuacha gutter Politics its a time to focus.

Kagame anataka kujifanya anajua history sana ili ajibatize kwa maovu aliyo yafanya huko nyuma aonekane yeye ndie mwema na hajuai kilicho tokea.

Sawa nasi tunakungojea sasa When it comes Counrty First we all in the same side we'll HIT YOU

ha haha ha what is this? hamchoki na hizi baseless ranting opinion za vijiweni with no facts? pole sana ila EAC is here and will stay na kagame or Kikwete hawana mpango wa kuiondoa au kuivunja
 
Nahisi watanzania tumekuwa mbumbu wa akili finyu siku zote
sikudhani mleta mada ame edit liv kila sehemu na brackets bado watu wanshabikia uppuzi
nahisi alitakiw akutuletea alichoesema kagame na kumtaja rais kikwete ..na huu ndio upuuzi
na upumbavu unaomfanya pastor chrstopher mtikila kushinda kesi mahakamani kila siku
ukinukuu kwenye sem zake kweli amesema lakini mtikila akuwahi kutaja jina hata siku moja

sasa unaposema rais kadhaa kasemaa qqqqqqqqq(mbafu)..........ll hit you((mbaffuuuuuu))) naona ni kujazana ujinga kujazana upumbaaa uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kabisa

nasema hivi leo mnaongelea tanzania na rwanda kesho wanakuwa wachaga na wapare sijui tutaongelea sehemu ya mkoa ama lah..tufike sehemu watanzania tuwe wabunifu .kuna mambo mengi ya maana ya kuunganisha jamii amasemi mnakimbilia kuandika mambo ya uwongo na kinafiki

mwisho nawatakia kwenye tiifu tiifu njema naamini itafika mwisho
 
[h=5]"We can choose to be satisfied with making the least effort and remaining dependent for the rest of our lives even if that means being mistreated. You can choose to be defined by others or you can choose to be who you deserve to be.

Our history has taught us the right choice. RPF made the choice to work hard to achieve the dignity Rwanda wants and deserves. We will only be able to benefit from hard work."-President Kagame addressing the RPF extended National Executive Council.[/h]
 
[h=5]"We can choose to be satisfied with making the least effort and remaining dependent for the rest of our lives even if that means being mistreated. You can choose to be defined by others or you can choose to be who you deserve to be.

Our history has taught us the right choice. RPF made the choice to work hard to achieve the dignity Rwanda wants and deserves. We will only be able to benefit from hard work.”-President Kagame addressing the RPF extended National Executive Council.[/h]
U.pu.pu, Rwanda imendelea nama gani Kigari tu!!!!!???????
 
NYIE MNAWAZA HIT YOU JUST KURUSHIANA MITUTU WENZENU WANA WA HT KIMAENDELEEO SOMA HAPO CHINIUJUE KATI YETU NA HUYU BWANA NANI ALIESHAMHIT MWENZAKE SIKU NYINGI

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
logo.png
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Kagame calls on African leaders to focus on dev’t[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]
1351641070President-.jpg

President Kagame with Dr Donald Kaberuka, AfDB chief and UNDP Administrator, Helen Clark at the African Economic Conference in Kigali yesterday. The New Times / Village Urugwiro.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]PRESIDENT Paul Kagame has urged African leaders to work towards doing away with counterproductive political influence and concentrate on meeting the development aspirations of their people.

The President was speaking at the seventh edition of the African Economic Conference that opened in Kigali, yesterday.

“The social and economic development of Africa must be Africa-owned and Africa-led. Leaders in particular, have to reshape political and economic thinking in order to address the development aspirations of their people and also to better cope with external factors,” Kagame said.

The continental meeting, organised by the African Development Bank (AfDB), the Economic Commission for Africa (ECA) and the United Nations Development Programme (UNDP) , looks to explore the continent’s prospects for sustainable and inclusive growth in the wake of the global economic crisis.

“If our development depended on the advice of economists alone, we would have made tremendous progress. But it does not. Our economies operate in both national and international political contexts which have a huge impact on choices countries like ours make and their outcome,” he said.

“In Rwanda, we understand that politics and economics go hand in hand and we have made a conscious and deliberate choice of inclusive development based on our political reality. By and large, they have produced positive results. Growth has been consistent and poverty levels considerably reduced by 12 percent from 56.9 percent to 44 percent in five years,” Kagame observed.

President Kagame pointed out that Rwanda’s economic growth is a result of ownership of programmes, citizen participation, a high degree of accountability, effective cooperation with development partners and the building of strong institutions.

The President, however, cautioned against external political manipulations, saying it can stifle economic growth.

“In the case of Rwanda, there has recently been a puzzling eagerness on the part of some of our partners to slow down our progress. Yet Rwanda has followed what has been prescribed as correct practices, and all indications are that we have done the right thing,” Kagame told the forum which drew leaders and scholars from around the world.

Among other notable dignitaries attending the conference are Olusegun Obasanjo, former President of Nigeria, Joaquim Rafael Branco, former Prime Minister of Sao Tomé and Príncipe, UNDP Administrator, Helen Clark, President of the AfDB, Dr Donald Kaberuka and Executive Secretary, ECA, Carlos Lopes.

“President Obasanjo, you left us a little bit too early. Because we had a team of leaders during that time who were supposed to mobilise other African leaders for Africans, for the common front, cause and purpose of our continent and for different reasons good and bad,” Kagame said.

“Most of those leaders if not all of them are not with us to continue the fight, you left when the fight was picking up momentum. I can sadly mention that Africa is lacking in terms of leaders to stand up against these challenges.”

“We cannot continue to have Africa with all these resources being run over and dedicated to by everybody passing around, it’s very serious,” President Kagame emphasised.

Citing the example of the conflict in the Democratic Republic of Congo, the President pointed out the DRC has two major problems - failure of the country’s leadership or lack of governance and the inability of the international community to address the root cause of the crisis, yet year-after-year they have allocated massive resources with no results.

“International community is so big to take responsibility of its failures, it must look for somebody to carry the responsibility and that is how it has come to be (blamed on) Rwanda,” Kagame explained, adding that Rwanda cannot accept to be black mailed.

African countries, he added, must know what they want and make plans to delink themselves from counterproductive political influences of others.

During the conference, participants will examine the key drivers of growth in Africa.

With 50 out of 55 countries in the region producing or prospecting for oil, the conference will look at the possibility of using profits from extractive industries to spur economic diversification and investments in social capital and human development.

The President of the African Development Bank, Dr Donald Kaberuka said: “We must answer the question of implementation of recommendations made at these conferences we have been holding. There is no escalator to development, it’s a hard slope, and Africans must be ready to fall back and try again.

“Rwanda has shown us that inclusive growth is not only possible but also sustainable,” Kaberuka said.

The UNDP Administrator, Helen Clark, observed that while challenges to sustainable growth do exist, Africa has the potential to work around them.

“Achieving the inclusive and sustainable growth which advances human development, within the boundaries of our planet, is a huge challenge. Yet we meet here bound by the conviction that the vast potential of Africa and its peoples can rise to this challenge,” said UNDP Administrator Clark.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
WHO IS HE?

In a SPIEGEL interview, Rwandan President Paul Kagame, 52, discusses the failures of the African elite, the trouble with development aid coming from the West and the problems his country has had reconciling after the 1994 genocide.
06072010.jpg
President Paul Kagame reviews troops at Amahoro Stadium in Kigali during the Liberation Day ceremonies marking the 16th anniversary of the end of the 1994 genocide.

SPIEGEL: Mr. President, right now the soccer World Cup is taking place and the world is looking to Africa in a way seldom seen before. Why is it that 50 years after independence, many African countries are still lagging so far behind?
Kagame: It is true, we are lagging behind. Unfortunately. There are a number of reasons for it -- historical, cultural, and not least, reasons that we ourselves have caused. We are far from exhausting our potential and resources. SPIEGEL: Why is it that statesmen who are not corrupt and do not line their own pockets are still the exception in Africa?
Kagame: I admit, this is a problem. But I can not absolve the West completely of guilt. There were corrupt leaders, and the West not only stood firmly behind them, but also sometimes encouraged even more corruption.
SPIEGEL: China, which has since become an industrial power, now appears to be growing into a role in Africa formerly held by the West. Do the Chinese have a more honest interest in Africa?
Kagame: To me it is not a question of whether China or the West has more honest intentions with us. It is about something else. Why don't we talk about how we can get on our feet on our own? We do not always want to be the victims and to serve as a battleground for foreign interests.
SPIEGEL: Your continent has long been comfortable in the role of the dependent.
Kagame: That is true. We complain about the Chinese, who take our natural resources, pollute the environment and leave nothing behind. Or about the West which, although it does not pollute the environment, also leaves nothing behind. We must take stock of our potential and resources and consider how we want to use them ourselves -- and also how we can do business with China or the West without getting exploited.
SPIEGEL: Most of your presidential colleagues in Africa are pleased with the billions of euros from the West that are flowing to the continent. In Rwanda, you impose tight restrictions on Western donors. What do you have against aid from abroad?
Kagame: The instances of aid that we have criticized were always those which created dependencies. Aid makes itself superfluous if it is working well. Good aid takes care to provide functioning structures and good training that enables the recipient country to later get by without foreign aid. Otherwise, it is bad aid …
SPIEGEL: … which has become the unfortunate norm in Africa.
Kagame: Yes, because the West is anything but altruistic. I often wonder why the West is much more interested in aid deliveries than in fair trade, for example. The fair exchange of goods would place far more money into the hands of the affected people than relief operations. I do not want to be cynical, but if developing nations are kept backward by being told, again and again, you belong to the poor and you are there, where you actually belong, then nothing will change.
SPIEGEL: Do any countries serve as role models for you on the path to becoming a modern state?
Kagame: There are things I admire, for example, about South Korea or Singapore. I admire their history, their development and how intensively they have invested in their people and in technology. It was not so long ago that they were at the same level of development as we are. Today, they are far ahead of us.
SPIEGEL: There are fair elections in South Korea. In your case, however, opposition leader Victoire Ingabire is under house arrest, newspapers are forbidden and parties are not permitted. That is not what democracy looks like.
Kagame: The Rwandan Media High Council is responsible for the banning of the two newspapers. And it is an independent institution. One of the newspapers compared me with Adolf Hitler, and another spread false gossip stories. To be honest, I would have banned the papers long ago. Incidentally, editors are also fired in Europe if they write nonsense.
SPIEGEL: But no unpopular newspapers are banned. And in Rwanda, leading opposition politicians are imprisoned.
Kagame: Victoire Ingabire's deputy, who returned to Rwanda from exile in January, was actively involved in the genocide of the Tutsi …
SPIEGEL: … at least 800,000 Tutsis were killed in 1994 by members of the Hutu majority.
Kagame: He was traveling under an assumed name, he has since admitted his involvement in the genocide, and a court convicted him. And yet the international media is nevertheless still writing, as before, that opposition leaders are being arrested in Rwanda.
SPIEGEL: You placed your most dangerous challenger, Victoire Ingabire, under house arrest.
Kagame: We now know that she has supported the Rwandan Hutu militias, who are now fighting in East Congo and are designated by the UN as terrorists. We have evidence that she was there and that she transferred money to them.
SPIEGEL: You are expected to be safely re-elected in early August. You no longer have any serious challengers.
Kagame: I am not responsible for a strong opposition. After all, we have a special past: almost 1 million victims in a hundred days of genocide. We want to put the country back on its feet. And we have a different way of dealing with that than others.
SPIEGEL: How much progress have you made with reconstruction?
Kagame: Today's Rwanda is a different country than it was 16 years ago -- in almost every respect. The people have enough to eat, there is health insurance and schools. Earlier, we had 800,000 school pupils, but today 2.3 million children are learning in primary schools, free of charge. The private sector is growing. A lot has happened. We give the people jobs and food, which also gives them a sense of dignity. If they have nothing to eat, then democracy is meaningless to them. Democracy holds little appeal for people who are struggling to survive.
SPIEGEL: With those arguments, you open the door to abuse of power. Many African potentates have used the same lines to justify their dictatorships.
Kagame: Why does the Western notion of democracy also have to be the right one for us? The difference is that the West has institutions that can punish the misconduct of individuals. What drove Rwanda and Africa into decline was the fact that certain people weren't held accountable. When we move to make corrupt mayors or officers answer to the courts, people always immediately say that we are repressive. But should we allow these people to continue to get away with it?
SPIEGEL: Even today, your country still doesn't appear to have completely reconciled following the tragedy of 1994.
Kagame: Reconciliation takes time. Sometimes many decades, as the example of Europe shows. It is hard work. How do you deal, for example, with people who are still moving freely despite the fact that they should actually be punished? Of the four categories of offenders that we introduced in 1994, from supporters to the instigators and masterminds of the genocide, we have already eliminated the two most harmless categories -- we do not want to pursue these people any further. Of course, it is difficult for the families of the victims of the genocide to accept that. SPIEGEL: Are you also dealing with your own personal history through your policies?
Kagame: My story is one of suffering and endurance. I was three and a half when we had to flee because of pogroms against the Tutsi from Rwanda. I grew up in a refugee camp in Uganda, and I lived there for 30 years. That shapes one's character. I constantly asked myself: Why is this misery and hunger returning to us in the camp? And why does the rest of the world remain quiet? I had to fight hard for everything. I wanted to get out. I want to take my destiny into my own hands and escape the vicious cycle of retaliatory violence. This struggle has shaped who I am to thi
 
NYIE MNAWAZA HIT YOU JUST KURUSHIANA MITUTU WENZENU WANA WA HT KIMAENDELEEO SOMA HAPO CHINIUJUE KATI YETU NA HUYU BWANA NANI ALIESHAMHIT MWENZAKE SIKU NYINGI

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
logo.png
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Kagame calls on African leaders to focus on dev’t[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]
1351641070President-.jpg

President Kagame with Dr Donald Kaberuka, AfDB chief and UNDP Administrator, Helen Clark at the African Economic Conference in Kigali yesterday. The New Times / Village Urugwiro.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]PRESIDENT Paul Kagame has urged African leaders to work towards doing away with counterproductive political influence and concentrate on meeting the development aspirations of their people.

The President was speaking at the seventh edition of the African Economic Conference that opened in Kigali, yesterday.

“The social and economic development of Africa must be Africa-owned and Africa-led. Leaders in particular, have to reshape political and economic thinking in order to address the development aspirations of their people and also to better cope with external factors,” Kagame said.

The continental meeting, organised by the African Development Bank (AfDB), the Economic Commission for Africa (ECA) and the United Nations Development Programme (UNDP) , looks to explore the continent’s prospects for sustainable and inclusive growth in the wake of the global economic crisis.

“If our development depended on the advice of economists alone, we would have made tremendous progress. But it does not. Our economies operate in both national and international political contexts which have a huge impact on choices countries like ours make and their outcome,” he said.

“In Rwanda, we understand that politics and economics go hand in hand and we have made a conscious and deliberate choice of inclusive development based on our political reality. By and large, they have produced positive results. Growth has been consistent and poverty levels considerably reduced by 12 percent from 56.9 percent to 44 percent in five years,” Kagame observed.

President Kagame pointed out that Rwanda’s economic growth is a result of ownership of programmes, citizen participation, a high degree of accountability, effective cooperation with development partners and the building of strong institutions.

The President, however, cautioned against external political manipulations, saying it can stifle economic growth.

“In the case of Rwanda, there has recently been a puzzling eagerness on the part of some of our partners to slow down our progress. Yet Rwanda has followed what has been prescribed as correct practices, and all indications are that we have done the right thing,” Kagame told the forum which drew leaders and scholars from around the world.

Among other notable dignitaries attending the conference are Olusegun Obasanjo, former President of Nigeria, Joaquim Rafael Branco, former Prime Minister of Sao Tomé and Príncipe, UNDP Administrator, Helen Clark, President of the AfDB, Dr Donald Kaberuka and Executive Secretary, ECA, Carlos Lopes.

“President Obasanjo, you left us a little bit too early. Because we had a team of leaders during that time who were supposed to mobilise other African leaders for Africans, for the common front, cause and purpose of our continent and for different reasons good and bad,” Kagame said.

“Most of those leaders if not all of them are not with us to continue the fight, you left when the fight was picking up momentum. I can sadly mention that Africa is lacking in terms of leaders to stand up against these challenges.”

“We cannot continue to have Africa with all these resources being run over and dedicated to by everybody passing around, it’s very serious,” President Kagame emphasised.

Citing the example of the conflict in the Democratic Republic of Congo, the President pointed out the DRC has two major problems - failure of the country’s leadership or lack of governance and the inability of the international community to address the root cause of the crisis, yet year-after-year they have allocated massive resources with no results.

“International community is so big to take responsibility of its failures, it must look for somebody to carry the responsibility and that is how it has come to be (blamed on) Rwanda,” Kagame explained, adding that Rwanda cannot accept to be black mailed.

African countries, he added, must know what they want and make plans to delink themselves from counterproductive political influences of others.

During the conference, participants will examine the key drivers of growth in Africa.

With 50 out of 55 countries in the region producing or prospecting for oil, the conference will look at the possibility of using profits from extractive industries to spur economic diversification and investments in social capital and human development.

The President of the African Development Bank, Dr Donald Kaberuka said: “We must answer the question of implementation of recommendations made at these conferences we have been holding. There is no escalator to development, it’s a hard slope, and Africans must be ready to fall back and try again.

“Rwanda has shown us that inclusive growth is not only possible but also sustainable,” Kaberuka said.

The UNDP Administrator, Helen Clark, observed that while challenges to sustainable growth do exist, Africa has the potential to work around them.

“Achieving the inclusive and sustainable growth which advances human development, within the boundaries of our planet, is a huge challenge. Yet we meet here bound by the conviction that the vast potential of Africa and its peoples can rise to this challenge,” said UNDP Administrator Clark.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

These attractive words are always spoken
, Rwanda is just Rwanda no industries, no market to its own products. How can you say it is developed? This is just cosmetics , bull shit.
 
Hii issue ya jamaa kupigwa siyo ya kitaifa ni issue binafsi maana yeye ndiyo kamchokoza Gen P Kagame kwahiyo nashauri kauli ya PM i apply na kwa huyu "Apigwe tu maana tumechoka"

Naomba tujadili mambo ya msingi yanayowakabili watz na siyo hizi issue binafsi za kiuchokozi/kujitakia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii issue ya jamaa kupigwa siyo ya kitaifa ni issue binafsi maana yeye ndiyo kamchokoza Gen P Kagame kwahiyo nashauri kauli ya PM i apply na kwa huyu "Apigwe tu maana tumechoka"

Naomba tujadili mambo ya msingi yanayowakabili watz na siyo hizi issue binafsi za kiuchokozi/kujitakia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kanali anajaribu mchokoza general....?
 
.....“those people [tanzanian president jakaya kikwete] you just heard siding with interahamwe and fdlr and urging negotiations… negotiations? Me, i do not even discuss this topic, because i will just wait for you [tanzanian president jakaya kikwete] at the right place and i will hit you! He[tanzanian president jakaya kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him…it is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…”

"it is in these ominous terms that the rwandan dictator general paul kagame threatened to get even with tanzanian president jakaya kikwete, while addressing rwandan youth on june 30, 2013 during a summit called “youth konnect”", sponsored by his wife, janet kagame.

Relations between tanzanian president jakaya kikwete and rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions rwandan leaders called the tanzanian president “a genocide and terrorist sympathizer”, “ignorant”, “arrogant”, and “mediocre leader”. The relations have deteriorated following the recommendation by president jakaya kikwete of open negotiations between rwandan, ugandan and congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the african great lakes region....

Source..i will just wait for you at the right place and i will hit you, rwandan general paul kagame threatens tanzanian jakaya kikwete

video:

kuanzia dk ya 57

attachment.php

attachment.php

mbona anachelewa atu-hit ili tumng'oe nduli namba mbili....chezea tz wewe utatepeta
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom