Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo
Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.
Bora Wewe Leo Umefunguka Na Kukiri Kuwa Rwanda Inawaharibia Biashara Yenu Ya Magendo Mnayoifanya Kwa Kushirikiana Na Kabange au Adrien Hypolite Kanombe ( Joseph Kabila ) Kwa Msaada Wa Mjomba na Mgombea Urais Chaguo Lake Maembe Huku Mkipeleka Wanajeshi Wetu Wakateseke Kwa Maslahi Yenu na Wakirudi Mnawapa Pesa Kiduchu Zitokanazo na Kikosi Cha Kulinda Amani cha Force Intervation Brigade. Na Ndiyo Hata Mmoja Wa Makamanda Wenu Huko Congo Wanajeshi Wa Kibongo Walimchenjia na Nusura Wampige baada Ya Kumgundua Kuwa Anataka Kuwadhulumu na Kwa Aibu Tukamrudisha Bongo na Sasa Tunae Mtaani Humu. Tunajisifu Kusambaratisha M23 Lakini Tunasahau Kuwa Tumesababisha Hata Rais Wao Kabila Sasa Halali DRC na Anaamkia Dar es Salaam Na Analala Dar es Salaam. Mnaojifanya Mnajua ktk Hili Nibishieni................... Sasa Nawatoleeni Uvivu Na Siku Wakongo Wakishtuka Mtafute Majibu Ya Kuwapa ILA Ukweli Ni Kwamba Nchi Zote Zilizoko DRC Zinaiba Rasilimali za Akina Bandeko Nangai Kwa Mgongo wa Kulinda Amani. Tuacheni UNAFIKI Watanzania Na Hebu Tuweni na Jicho La Tai ktk Kuangalia Mambo AU Ndiyo Madhara Haya Ya Elimu Yetu Ya BRN?????????????????????????????
Kwani Ni Kipi Kipimo cha Kuwa Mtanzania Halisi?
Je Ni Kuwa Mzalendo na Kutetea Uzembe Wa Serikali Yako Huku Wachache Wakitajirika Na Masikini Kama Wewe Mkizidi Kuongezeka Kila Kukicha Nchini Tanzania?
Nina Mashaka Na IQ Yako.
Bora Wewe Leo Umefunguka Na Kukiri Kuwa Rwanda Inawaharibia Biashara Yenu Ya Magendo Mnayoifanya Kwa Kushirikiana Na Kabange au Adrien Hypolite Kanombe ( Joseph Kabila ) Kwa Msaada Wa Mjomba na Mgombea Urais Chaguo Lake Maembe Huku Mkipeleka Wanajeshi Wetu Wakateseke Kwa Maslahi Yenu na Wakirudi Mnawapa Pesa Kiduchu Zitokanazo na Kikosi Cha Kulinda Amani cha Force Intervation Brigade. Na Ndiyo Hata Mmoja Wa Makamanda Wenu Huko Congo Wanajeshi Wa Kibongo Walimchenjia na Nusura Wampige baada Ya Kumgundua Kuwa Anataka Kuwadhulumu na Kwa Aibu Tukamrudisha Bongo na Sasa Tunae Mtaani Humu. Tunajisifu Kusambaratisha M23 Lakini Tunasahau Kuwa Tumesababisha Hata Rais Wao Kabila Sasa Halali DRC na Anaamkia Dar es Salaam Na Analala Dar es Salaam. Mnaojifanya Mnajua ktk Hili Nibishieni................... Sasa Nawatoleeni Uvivu Na Siku Wakongo Wakishtuka Mtafute Majibu Ya Kuwapa ILA Ukweli Ni Kwamba Nchi Zote Zilizoko DRC Zinaiba Rasilimali za Akina Bandeko Nangai Kwa Mgongo wa Kulinda Amani. Tuacheni UNAFIKI Watanzania Na Hebu Tuweni na Jicho La Tai ktk Kuangalia Mambo AU Ndiyo Madhara Haya Ya Elimu Yetu Ya BRN?????????????????????????????
wewe utafaidika nini? Mbona hamna heshima na nchi jirani!?
endeleeni kujidanganya..
inaonekana wewe ni sehemu ya walewale interahamwe, umejaa ubaguzi na chuki sana za kikabila! Kama umeanza kuwabagua watanzania wenzako kisa wanatofautiana nawe kimawazo!nyie watusi mnahaha sana toka tukate mirija yenu ya mauaji na wizi huko kongo m.a.k.a.l.i.o yenu
Muone kigwangala anadawa za akili akusaidiee upone kwanza.Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo
Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.
inaonekana wewe ni sehemu ya walewale interahamwe, umejaa ubaguzi na chuki sana za kikabila! Kama umeanza kuwabagua watanzania wenzako kisa wanatofautiana nawe kimawazo!
Mkuu inabidi ikumbuke hatukuenda sisi kwa matakwa yetu, tumeenda kupitia UN, kupitia UN lleo congo kuna majeshi zaidi ya nchi kumi. Tulienda pamoja na Malawi na South afrika lakini sijawahi kusikia hawa jamaa wengine wakigombana mabungeni mwao. Hii ni kawaida somalia wapo burundi na uganda, CAR ufaransa, rwanda na majeshi ya nchi kibao. Sielewi kwa nini sisi tunaongea saana kuhusu congo. Leo wakitokea M20 tanzania itabidi kama sisi un itume majeshi nchini kufanya kile tuachokifanya congo,
Hoja yangu sisi tusiwachanganye wanajeshi wetu na siasa. Mambo ya UN tuwaachie UN, sisi tukomae kuimarisha uchumi kupitia majirani. Pamoja na kushutumiwa kuiba mali ya congo, rwanda bado ni nchi inayoongoza kwa kupokea misaada africa. Ushauri wangu Nchi iachane na siasa za chuki na majirani, tuangalie jinsi tunavyowez kuwatumia kukua kiuchumi. Tuna safari ndefu jamani.
hoja yako haina mashiko.ukumbuke kwamba leo ni congo kesho itakula kwetu.ni muhimu kwa jeshi letu kwenda kuwasaidia ndugu zetu wakongo kwani kinyume na hapo kesho hawa wanyarwanda watatugeukia sisi.nashangazwa sana na kauli hii potofu kwa huyu jamaa yetu.ujue vision ya mwalimu nyerere ni kuona afrika nzima kuwa huru.wakongo wakiwa na amani hata sisi tutakuwa na amani lakini kongo isipokuwa na amani hata sisi watanzania amani yetu itakuwa mashakani.kagame akileta ujeuri ni lazima apigwe.huwezi kupeleka askari wake kwenda kuiba mali za wakongo,hii haikubaliki.watanzania tuwe wazalendo.nashangaa sana vijana wa sasa hivi wa kitanzania hawana uzalendo na nchi yao.vijana wengi hawaenda jeshini hata hawajui madhara ya vita hivyo wana wanabwabwaja tu
Daah sijakuelewa kabisa mkuu
Yaan wewe unaweza muona jirani yako kavamiwa na uwezo wa kumsaidia unao halafu unaangalia tu.
Huo unaitwa uoga. Halafu na huyo kagame mnaemtetea ametutukana watanzania
Wewe utakuwa na matatizo mtu anakutukana wewe unamchekea, mwisho wa siku atakushika m@tak0
Halafu sisi wote ni watanzania (ila sina uhakika na wewe) pamoja na mapungufu yote tuliyonayo lakini katika suala la utaifa kama hili lazima tuwe wamoja kulinda heshima ya taifa letu
Sina hakika kama wewe ni mzima kichwani, ungekuwa una uwezo japo kidogo wa kujua barabara inavukwaje, ningekuelezea maana ya uhusiano wa kimataifa.
Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo
Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.
Nakukubal sana mkuu ila kwahil hapana......watanzania tuna mengi ya kufanya kwanza huku kwetu.sio kukurupikia ya wenzio tunasindwa kupambana na mafisadi tunakimbilia vita isiyotuhusu,kuna kitu hapa mkuu...think big