Kagame na Rwanda baada yake, "Kumbe vitini ni Maumivu"

Mwongo huyo. Mbona anaua sana wote wanaogombea urais kwa kuchuana naye kwenye kinganyiro. Anaogopa Nini. Hii inamaanisha uchaguzi ukiwa huru na akaruhusi mashindano atabwagwa mchana kweupe. Wanyarwand hawataki kama ambavyo warusi hawataki putini ndo mana anaua wapinzani wake. Nchi huru na strong ni marekani tu unaweza kushinda bila hata kuwa mwanasiasa. Everything is open and free in America. Other countries are nincompoop headed by china (total dictatorial regimes).

Jpm wanted to disastrous leader those mentioned above
Mbona Trump alilalamika kuibiwa Kura,uko kwenye open democracy and free and fair election ?
 
Kwa mujibu wa maelezo yake:

View attachment 2935956
Binafsi hapo namuelewa vizuri

Ukweli Kagame Yuko vizuri na hiyo statement anaonyesha wazi kuwa kachoka Yuko tayari kuondoka ila RPF waandae mu wa kushika.Na ukweli kachoka kaitoa nchi kwenye magumu kaiongoza ikatulia kwenye Hali ngumu Hadi kaifikisha vizuri hapo ilipo.kama binadamu anastahili na yeye umri uliobaki apumzike ale Raha akiwa na nguvundio Kila siku kichwa kinamgonga Kwa matatizo ya wanyarwanda tu

Binafsi naamini Kagame angeweza kustaafu Uraisi hata Leo lakini Kuna shinikizo ndani ya wakongwe wa RPF kuwa akiondoka yeye wao itakuwaje?
Kitu Cha kufanya kwanza hao veterans waandaliwe package nzuri za kustaafu sababu wao pia wanatakiwa walau nao wapate muda ku enjoy Maisha nje ya kazi baada ya kazi ngumu Kazini miaka yote

Pili watakaopenda kuhamia nchi nyingine wakijisikia Ruksa Kagame aongee na nchi Rafiki wawape nafasi za kuishi huko baada ya ustaafu wao na Rwanda iendelee kuwagjatimia kama wastaafu wake wa heshima

Package ya kustaafu ikiwa nzuri akawambia wengi hata wiki ijayo waweza amua kuandika barua kustaafu Kwa hiari ili aendelee na kazi ya kuleta mabasiliko ndani ya Rwanda ya kukabidhi madaraka Kwa new generation za vijana wa kinyarwanda

Kazi kubwa kwake ni kumalizana na hao veterans.Akimalizana nao aangalie mtu wa kuweka ila asiweke mtu popular au anayejulikana sana

Aweke asiye na makundi Wala umaarufu wa Kundi lolote ambaye Kila Kundi litabaki tu mdomo wazi eeee ikiwemo jumuiya ya kimataifa.Sababu Hawamjui vizuri watakuwa watii kwake sana na hakutakuwa na manung'uniko ya chini chini akipita

Yeye Kagame atabaki Mshauri nyuma ya pazia lakini sio kumwingilia mara Kwa mara .Anamwambia tu ukiona gumul olote nitafute tushauriane

Na kabla kuondoka nashauri Kagame aweke baraza la ushauri wa Raisi litakaloundwa na viongozi wastaafu likiongozwa na Raisi mstaafu ,wakuu wa majeshi wastaafu ,mawaziri wa fedha wastaafu,Gavana wa Benki kuu mstaafu,wakuu wa Polisi wastaafu nk lisiwe kubwa sana liwe na watu wasiozidi 12 lakini wa maeneo nyeti na ambao vichwa vyao viko vizuri.Hawa Kagame akitoka akaja Raisi mpya watakuwa wakimshauri mara moja moja ikihitajika au kukiwepo uhitaji wao.Hilo Baraza laweza kufanya vikao mara tatu au mbili Kwa mwaka au pale inapobidi na kutoa ushauri wao Kwa raisi kama upo

Vinginevyo niwaombe RPF wawe na huruma na Kagame na Veterans wawaandalie package nzuri za kustaafu kuanzia Kagame mwenyewe na wawaruhusu wapumzike na watafute mtu wa kushika nafasi ya Kagame na za kwao
 
Afrika ni kichwa cha mwendawazimu, Binafsi huwa namuona Nelson Mandella,kuwa rais bora kuwahi kutokea ndani ya bara hili.

Bila kumsahau mzee wetu Nyerere.

Ajabu na kweli kuna wajinga mbatata wenye kuwaona Mandela au Nyerere kuwa walikuwa wajinga kuliko wao.
 
Mwongo huyo. Mbona anaua sana wote wanaogombea urais kwa kuchuana naye kwenye kinganyiro. Anaogopa Nini. Hii inamaanisha uchaguzi ukiwa huru na akaruhusi mashindano atabwagwa mchana kweupe. Wanyarwand hawataki kama ambavyo warusi hawataki putini ndo mana anaua wapinzani wake. Nchi huru na strong ni marekani tu unaweza kushinda bila hata kuwa mwanasiasa. Everything is open and free in America. Other countries are nincompoop headed by china (total dictatorial regimes).

Jpm wanted to disastrous leader those mentioned above

Nilimsahau JPM kwa hisani yako ninarejea kumeongeza pale maana naye alikuwa njia moja, huko huko.
 
Ivan kagame yupo kwenye maandalizi ya ku take over!!

Sitoshangaa Ivan akateuliwa kuwa makam was Rais Ili Mzee aki resign katikati ya uongozi a takeover vizuri na kuwe na transition nzuri!!

Hata kule kwa Museven,Muhooz kainerugaba anaandaliwa kiakili kushika hatam!!

Sidhani kama kagame atamaliza term ijayo Hadi mwisho nadhani ata mwachia The apprentice wake!!!
Kwanini hudhani kama atamaliza?
 
Naona mtusi umekuja kutupoteza maboya, umetumwa?
Kamwe anachokisema Kagamae tofauti ana anachoenda kukifanya.

Ukweli ni kwamba mabavu huwa yanamwisho hayadumu hata siku moja, hata historia umetufunza hivyo.

Bila shaka ni wale wenye vipaji cha ujinga mbatata kwenye ubora wako:

1. Tukiandika kuhusu haki za panya road huitwa "panya road."

2. Tukiandika kuhusu wanafunzi LST huitwa tuliofeli mitihani huko.

3. Tukiandika neno la pongezi kwa jambo zuri kuhusu Chadema huitwa Bavicha

4. Tukisifu jambo kafanya Zitto huitwa ACT.

5. Tukilaani udhwalimu wa Israel Gaza huitwa waislam.

6. Tukiandika kuhusu haki za watu wa jinsia moja huitwa LGBTQ.

7. Nk nk.

Kwamba hapa tumeandika habari yenye mafunzo tokea tulikoiona kwa manufaa ya wengine. Kwamba kwako kwa hivyo tu, tumekuwa watusi siyo?!

Wewe kama MK254 mtaelimika lini "mamb*rula" nyie?

Bure kabisa!
 
Kwa maneno mengi kiasi hiki, dhahiri yamekugusa Mkuu. Siongezi neno.
 
Nimewaandikia wengi kama hayo kwa wenye tuhuma zao za kijinga jinga kama zako.

Bila shaka kwa kutokea hapa kama kondoo ukiwa umeloa chapa chapa, umegundua kipaji chako cha umburula hakijifichi.
 
Binafsi hapo namuelewa vizuri

Ukweli Kagame Yuko vizuri na hiyo statement anaonyesha wazi kuwa kachoka Yuko tayari kuondoka ila RPF waandae mu wa kushika.Na ukweli kachoka kaitoa nchi kwenye magumu kaiongoza ikatulia kwenye Hali ngumu Hadi kaifikisha vizuri hapo ilipo.kama binadamu anastahili na yeye umri uliobaki apumzike ale Raha akiwa na nguvundio Kila siku kichwa kinamgonga Kwa matatizo ya wanyarwanda tu

Binafsi naamini Kagame angeweza kustaafu Uraisi hata Leo lakini Kuna shinikizo ndani ya wakongwe wa RPF kuwa akiondoka yeye wao itakuwaje?
Kitu Cha kufanya kwanza hao veterans waandaliwe package nzuri za kustaafu sababu wao pia wanatakiwa walau nao wapate muda ku enjoy Maisha nje ya kazi baada ya kazi ngumu Kazini miaka yote

Pili watakaopenda kuhamia nchi nyingine wakijisikia Ruksa Kagame aongee na nchi Rafiki wawape nafasi za kuishi huko baada ya ustaafu wao na Rwanda iendelee kuwagjatimia kama wastaafu wake wa heshima

Package ya kustaafu ikiwa nzuri akawambia wengi hata wiki ijayo waweza amua kuandika barua kustaafu Kwa hiari ili aendelee na kazi ya kuleta mabasiliko ndani ya Rwanda ya kukabidhi madaraka Kwa new generation za vijana wa kinyarwanda

Kazi kubwa kwake ni kumalizana na hao veterans.Akimalizana nao aangalie mtu wa kuweka ila asiweke mtu popular au anayejulikana sana

Aweke asiye na makundi Wala umaarufu wa Kundi lolote ambaye Kila Kundi litabaki tu mdomo wazi eeee ikiwemo jumuiya ya kimataifa.Sababu Hawamjui vizuri watakuwa watii kwake sana na hakutakuwa na manung'uniko ya chini chini akipita

Yeye Kagame atabaki Mshauri nyuma ya pazia lakini sio kumwingilia mara Kwa mara .Anamwambia tu ukiona gumul olote nitafute tushauriane

Na kabla kuondoka nashauri Kagame aweke baraza la ushauri wa Raisi litakaloundwa na viongozi wastaafu likiongozwa na Raisi mstaafu ,wakuu wa majeshi wastaafu ,mawaziri wa fedha wastaafu,Gavana wa Benki kuu mstaafu,wakuu wa Polisi wastaafu nk lisiwe kubwa sana liwe na watu wasiozidi 12 lakini wa maeneo nyeti na ambao vichwa vyao viko vizuri.Hawa Kagame akitoka akaja Raisi mpya watakuwa wakimshauri mara moja moja ikihitajika au kukiwepo uhitaji wao.Hilo Baraza laweza kufanya vikao mara tatu au mbili Kwa mwaka au pale inapobidi na kutoa ushauri wao Kwa raisi kama upo

Vinginevyo niwaombe RPF wawe na huruma na Kagame na Veterans wawaandalie package nzuri za kustaafu kuanzia Kagame mwenyewe na wawaruhusu wapumzike na watafute mtu wa kushika nafasi ya Kagame na za kwao

Umeandika mazito:

1. Kwamba huyu bwana miaka 30 leo ni kweli atakuwa kachoka.

2. Kwamba unaongelea ikiwamo suluhu kujipanga kwa wengine kwenda uhamishoni.

Kulikoni waafrika kutokuwa na siasa za Mandela za uzalendo zisizomwekea awaye yote kuona uhamishoni kuna usalama zaidi na si nyumbani?
 
Amesikika mwamba huyu wa Kigali:

1. Kwamba kwao wamewekeza kwa watu na kuwa taasisi imara.

2. Kwamba anaamini hata baada yake atapatikana mwingine labda hata bora zaidi:

View attachment 2935849

3. Kwamba kumbe tokea 1994 amekuwa akiendelea kitini kwa maumivu makali:

View attachment 2935850

4. Kwamba hata hivyo amekubali Tena, kwa maumivu makali mno kuwa July 2024 anakwenda mitano mingine.

5. Yawezekana kuna ka ukweli, kwa maana kuondoka madarakani kwa wakuu wengi haijawa rahisi sana; kuwa Kumbe ni kwa wingi wa huruma zao tu.

6. Ikumbukwe:

a) Bila Nyerere (RIP) kukomaa kivyake vyake, Mwinyi angekwenda mitano mingine 1995.

b) Bila Mkapa (RIP) kukomaa kivyake vyake, komando Salmin angekwenda mitano mingine.

c) Mkapa (RIP) naye akiwa ikulu aliwahi kusema: "msinione nanenepa, lakini cha moto nakiona."

d) Nyerere (RIP) naye akasema: "ikulu ni matatizo."

e) JPM (RIP) naye alishaandaa mazingira tukaambiwa atake asitake (tutake yusitake), 2025 mitano mingine!

7. Kwamba kina Putin, Xi, Kim, Museveni na wa namna hiyo wangali wanaendelea kukomaa, yawezekana ni kwenye kujitolea kuibeba misalaba hii kwa niaba ya watu wao.

Wasibezwe!

Source: NTV
_______

Habari zaidi Iko hapa:

Kagame speaks out on Rwanda after him
Rwanda haikutakiwa kuwa nchi ilitakiwa iwe mkoa km Kigoma au Kagera sema mjerumani aliharibu sana. Kaanchi kadogo haina rasilimali ya maana ndiyo maana Kagame ameganda pale Goma
 
Umeandika mazito:

1. Kwamba huyu bwana miaka 30 leo ni kweli atakuwa kachoka.

2. Kwamba unaongelea ikiwamo suluhu kujipanga kwa wengine kwenda uhamishoni.

Kulikoni waafrika kutokuwa na siasa za Mandela za uzalendo zisizomwekea awaye yote kuona uhamishoni kuna usalama zaidi na si nyumbani?
Naona mnasapotiana kupiga Uzandiki kama sio wewe mwenyewe umekuna na ID nyingine, tumekushtukia. Njoo na mada nyingine si ndio kazi yako hiyo.
 
Baada ya kagame ni Janeth Kagame, zingatia hili.. kagame anaachia ngazi 2033. Japo nasikia afya yake kidogo haipo vizuri.. Mungu ampe maisha marefu aone rwanda anayo itamani
 
Umri pia umesonga.Aanze kidogo kidogo kuwa inactive aachie watendaji Wakifanya kazi huku yeye akiwaangalia na kuwasaidia hapa na pale au kuwasahihisha hapa na pale huku ka mute behind the scene
Anakuwa behind the scenes apunguze kuonekana public taratibu iwe local media au international media lakini akiwa active behind the scene Kwa viongozi tu Kwa kuwapa maelekezo mashauriano kuwasahihisha nk tu lakini ambayo SI lazima yatangazwe vyombo vya habari labda tu ziwe teuzi au kutengua
Public aweza kuwa anaonekana mara moja moja sana

Of course Hilo laweza zua minong"ono mingi na speculation nyingi lakini sio vya kujali lengo ni kuwa ni kama zoezi special drill ya wananchi waanze Kuona kama serikali yaweza kwenda bila Kagame ili.kuwaanda kisaikolojia kuwa everything is under control hata kama Kagame hayupo Wakati yupo.Nadhani hili muhimu kuwaandaa wananchi kisaikolojia ili siku akiondoka madarakani watu wawe na amani kusiwe na sintofahamu yeyote watu wawe na confidence na waliopo
 
Huenda anachosema ni kweli.
Kuongoza nchi si mchezo! Wakati wote unaishi kwa hofu ya kuuawa au kupinduliwa!
 
Ivan kagame yupo kwenye maandalizi ya ku take over!!

Sitoshangaa Ivan akateuliwa kuwa makam was Rais Ili Mzee aki resign katikati ya uongozi a takeover vizuri na kuwe na transition nzuri!!

Hata kule kwa Museven,Muhooz kainerugaba anaandaliwa kiakili kushika hatam!!

Sidhani kama kagame atamaliza term ijayo Hadi mwisho nadhani ata mwachia The apprentice wake!!!
Na Ni vzr Hilo kwani kagame ameiweza inch Sana imetulia na imepaa kiuchumi
 
Amesikika mwamba huyu wa Kigali:

1. Kwamba kwao wamewekeza kwa watu na kuwa taasisi imara.

2. Kwamba anaamini hata baada yake atapatikana mwingine labda hata bora zaidi:

View attachment 2935849

3. Kwamba kumbe tokea 1994 amekuwa akiendelea kitini kwa maumivu makali:

View attachment 2935850

4. Kwamba hata hivyo amekubali Tena, kwa maumivu makali mno kuwa July 2024 anakwenda mitano mingine.

5. Yawezekana kuna ka ukweli, kwa maana kuondoka madarakani kwa wakuu wengi haijawa rahisi sana; kuwa Kumbe ni kwa wingi wa huruma zao tu.

6. Ikumbukwe:

a) Bila Nyerere (RIP) kukomaa kivyake vyake, Mwinyi angekwenda mitano mingine 1995.

b) Bila Mkapa (RIP) kukomaa kivyake vyake, komando Salmin angekwenda mitano mingine.

c) Mkapa (RIP) naye akiwa ikulu aliwahi kusema: "msinione nanenepa, lakini cha moto nakiona."

d) Nyerere (RIP) naye akasema: "ikulu ni matatizo."

e) JPM (RIP) naye alishaandaa mazingira tukaambiwa atake asitake (tutake yusitake), 2025 mitano mingine!

7. Kwamba kina Putin, Xi, Kim, Museveni na wa namna hiyo wangali wanaendelea kukomaa, yawezekana ni kwenye kujitolea kuibeba misalaba hii kwa niaba ya watu wao.

Wasibezwe!

Source: NTV
_______

Habari zaidi Iko hapa:

Kagame speaks out on Rwanda after him
The bigger your income the bigger your problems !!
Hayo maneno yenye hekima yanaingia kwenye nyanja zote za maisha !!

Kwa mfano Utajiri ni mzigo mkubwa sana ameubeba huyo Tajiri na hakuna njia ya kuutua huo mzigo isipokua njia moja tu ‘Afilisike’ !!
Je atakubali kufilisika ??! Jibu ni kwamba Tajiri huwa haamini kuna maisha hata baada ya kufilisika 😅😅🙏🙏.
 
Back
Top Bottom