Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,552
- 2,184
Rank | Country | % of Women in Parliament | Global rank |
---|---|---|---|
1 | Rwanda | 61.3% | 1st |
2 | Senegal | 46.1% | 11th |
3 | South Africa | 45.8% | 14th |
4 | Namibia | 44.2% | 19th |
5 | Mozambique | 43.2% | 20th |
6 | Ethiopia | 41.3% | 25th |
7 | Cabo Verde | 38.9% | 30th |
8 | Angola | 38.6% | 32nd |
9 | Burundi | 38.2% | 36th |
10 | United Republic of Tanzania | 37.4% | 41st |
Na bandari piaWanawake wapewe Tanesco
Maza naye ndiyo anataka watu kama hawa chawa chawaJamaa anatafuta maandiko ya kumchota mama akili. Huu uchawa, hakuna jina lingine
Marekani Wanawake ni wengi sijui kuhusu UrusiHuyu mjinga atuwekee serikali za Marekani, Urusi na Israel
Weka mkeka hapa, acheni uchawa, haya kwanini bandari, polisi, magereza na JWTZ wasiwe wanawake tupu?Marekani Wanawake ni wengi sijui kuhusu Urusi
Ni sahihi na hapo ndio mimi huwa nasema, pesa za wanawake root yake ni sisiNikweli wanaume sisi ni wezi sana,
Unakuta mtu anamichepuko 6 karibu Kila mkoa,
Unataka gari zuri mwanamke akuone,
Ukajenge kijijini,
Wanaume sisi ni wizi wizi wizi
Kwamba wanaume wakishaijenga taasisi ikawa inaenda vyema kifaida.ndio wanaona kama vipi watoe nafasi KWA wanawake.'Walau theluthi 1 ni wanawake'
Maana yake walau theluthi 2 ni wanaume
Kati ya theluthi 1 na theluthi 2 ipi kubwa?
Tunahakiki vipi theluthi 1 ndo inaleta faida kuliko 2?
This is cherrypicking. Nipo tayari kukosolewa.
uRC unakuwa safarini kila siku + dili kibaoKafulila hajaridhika na cheo alichonacho?
Baada ya Samia ni Tulia.
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
View attachment 2931206
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu sana.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu leo anatimiza miaka MITATU ya Urais ila hakuna hata mmoja wa Watanzania awe ni mpinzani au MwanaCCM anaweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda labda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa na tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% si haba.
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama Wanaume.
Baba ya Samia ni Tuli

Anatakana kulinganisha mafanikio ya 14 kati ya 350 kwamba ndiyo maganikio makubwa...Nikweli wanaume sisi ni wezi sana,
Unakuta mtu anamichepuko 6 karibu Kila mkoa,
Unataka gari zuri mwanamke akuone,
Ukajenge kijijini,
Wanaume sisi ni wizi wizi wizi
Sasa kama 1/3 ni mara 10 unaonaje ikiwa 2/3?'Walau theluthi 1 ni wanawake'