Raia wa Taifa
Senior Member
- Jan 28, 2024
- 121
- 149
CHADEMA hakiamini katika mwanamkeKweli hii ni nchi dume kweli kweli,

Wanamlamba viatu Boss, maana naye ni mwanamke.Hawa wanaume wa hizi zama sijawahi kuwaelewa, wapo bzy sana kuwapigia debe wanawake
Litumbuli limekuwa sasa,anaelekea kuwa nyani.Jamaa anatafuta maandiko ya kumchota mama akili. Huu uchawa, hakuna jina lingine
Sio wote hatuna akili ya kutojua amelenga nini. Tunajua internal objective yake.Kuwa na cheo ndio hutakiwi kuwa na comment juu ya chochote?
Mkuu OKW BOBAN SUNZU wewe ni mtu wa kuaminika sana hapa Jf but kwa hili hapana.Sio wote hatuna akili ya kutojua amelenga nini. Tunajua internal objective yake.
Mwaka huu, vyeo vinatafutwa kwa kusifia wanawake
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
View attachment 2931206
View attachment 2931263View attachment 2931265
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu sana.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu leo anatimiza miaka MITATU ya Urais ila hakuna hata mmoja wa Watanzania awe ni mpinzani au MwanaCCM anaweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda labda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa na tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% si haba.
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama Wanaume.
Sifia Sasa na wewe upewe cheoMwaka huu, vyeo vinatafutwa kwa kusifia wanawake
Kwa wenzetu si afrika

Kwani Rwanda ni Wapi?Kwa wenzetu si afrika
Wanawake wapewe Tanesco
Wengine hatujui kusifia. Vyeo lazima vitupitie mbaliSifia Sasa na wewe upewe cheo
Rwanda ni exceptional ni one of its kind. Lakini hii ni kutokana na bwana slim who is a man hapo. Rwanda hata ukitembea na gari huombi rushwa na askari kama huku. Ni exceptional kwenye mambo mengiKwani Rwanda ni Wapi?
Kafulila boya sana. Kwa nini asingemwachia mtalaka wake taasisi yao ya ndoa akaiongoza? Ona sasa mfumo dume wake umemkosti
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
View attachment 2931206
View attachment 2931263View attachment 2931265
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu sana.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu leo anatimiza miaka MITATU ya Urais ila hakuna hata mmoja wa Watanzania awe ni mpinzani au MwanaCCM anaweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda labda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa na tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% si haba.
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama Wanaume.
Tuende mbele turudi nyuma Wanawake bado ni waadilifu sana,Rwanda ni exceptional ni one of its kind. Lakini hii ni kutokana na bwana slim who is a man hapo. Rwanda hata ukitembea na gari huombi rushwa na askari kama huku. Ni exceptional kwenye mambo mengi
Iko hivyo Duniani kote.
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
View attachment 2931206
View attachment 2931263View attachment 2931265
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu sana.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu leo anatimiza miaka MITATU ya Urais ila hakuna hata mmoja wa Watanzania awe ni mpinzani au MwanaCCM anaweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda labda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa na tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% si haba.
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama Wanaume.
Duniani kote wapi ? Au kwenye hivyo vinchi vya hovyo hata kwenye ukubwa wa uchumi duniani havipoIko hivyo Duniani kote.
Wanawake ni waadilifu
Wanawake Wanajua Bajeti
Wanawake sio mafisadi kama wanaume
Wanawake Wana uwezo wa ku handle mambo mengi Kwa wakati mmja
Na wanawake Wana hofu ya Mungu,ni wapenda Haki na amani.
Wanaume Sasa ukiacha matumizi ya Nguvu wanahoweza ila kwenye akili na uadilifu ni sifuri.
Lakini matokeo yanaonekana hata hivyoMaendeleo ya Rwanda yanatokana na Sera za uchumi za kagame zinazofungua milango kwa wadau wa nchi mbalimbali za kimagharibi unaoboreshwa na uchache wa wanyarwanda & udogo wa Rwanda + ufadhili mkubwa post 1994 genocide + wizi wa rasilimali Congo uliobarikiwa na kulindwa na Ulaya + Udikteta mamboleo wa Kagame.
Hailetwi kabisa na wanawake wengi bungeni. And infact Kagame anaweka wanawake wengi sababu ni rahisi kuwadhibiti kwa kuzingatia hofu yake ya kuasiwa.