funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,119
- 31,639
Mbatia sio Mangi halisiHapo ndio utajua kuwa ndio maana wauza maduka wengi ni kinamangi, maana wanajua biashara kupita kabila lolote lile hapa ulimwenguni
Mbatia sio Mangi halisiHapo ndio utajua kuwa ndio maana wauza maduka wengi ni kinamangi, maana wanajua biashara kupita kabila lolote lile hapa ulimwenguni
Bana eeeh usituchoshe. Ukawa mbona ilishakufa kitambo. hivi hata na macho huna yakuangalia.Ni swali chokonozi juu ya mustakabali wa Ukawa na malengo yake.Inakuwaje member wa Nccr wanahamia Chadema?Ikiwa Ukawa wana nia na lengo moja iwenye chama kimoja ndani ya Ukawa kiendelee kuwanyonya wanachama wa vyama vingine ndani ya Umoja huu?
Tafuta kwanza logic ya rais kuteua wabunge sita wa kiume mpaka sasa huku katiba ikitaka nafasi tano au zaidi ziwe za wanawakeMimi sipati Logic, hivi NCCR si ipo UKAWA.? Kwa nini asingebaki NCCR akasaidia harakati akitokea NCCR kama UKAWA wana strong bond.? UKAWA si wana plan za kuungana hapo baadae.? Ama kuna kitu ndo sikielewi.?
Mimi sipati Logic, hivi NCCR si ipo UKAWA.? Kwa nini asingebaki NCCR akasaidia harakati akitokea NCCR kama UKAWA wana strong bond.? UKAWA si wana plan za kuungana hapo baadae.? Ama kuna kitu ndo sikielewi.?
ukawa ulishakufa kwa chadema kudhoofisha kwa lengo la kuviua vyama vingone. ukawa sasa imebaki kama jina jingine la chadema.Ni swali chokonozi juu ya mustakabali wa Ukawa na malengo yake.Inakuwaje member wa Nccr wanahamia Chadema?Ikiwa Ukawa wana nia na lengo moja iwenye chama kimoja ndani ya Ukawa kiendelee kuwanyonya wanachama wa vyama vingine ndani ya Umoja huu?
Tafuta kwanza logic ya rais kuteua wabunge sita wa kiume mpaka sasa huku katiba ikitaka nafasi tano au zaidi ziwe za wanawake
Hujui uulizacho. Nenda kasome