Kafulila na Zitto wanaivuruga NCCR - Moses Machali

Kafulila na Zitto wanaivuruga NCCR - Moses Machali

Status
Not open for further replies.
Wewe ni mjinga kuliko hata Kubenea unabwabwaja ujinga hapa bila hata aibu!..hivi kweli unaweza ukamlinganisha zitto na mbowe katika nyanja ya uongozi hapa tanzania?

...hivi haujui kama Mbowe amekuwa akihakikisha hakuna mtu anayechipua kumpiku ktk chadema? ...kwanini huko kutumiwa kwa zitto kuanzie pale tu alipoamua kugombea uenyekiti na si pengine popote?...hivi kweli unatumia akili kufikiri au ndo yale yale masaburi yenu watoto wa mbowe?

...hebu waulize mapacha watatu=mbowe, slaa na komu ni nini hasa kinawasumbua kwa zitto zaidi ya dhamira?...zitto amafaa sio tu kuwa raisi wa tanzania hata wa afrika kwa ujumla au umesahau kuwa kiongozi bora hapatikani kwa kabila lake wala pesa zake kama mbowe bali ni uwezo wake?

Wewe ufikiri kwa masaburi kama hujui kuwa Zitto anatumiwa tu hana lolote, ulaaniwe na upopo wake.
 
Na wewe acha uwongo wako wewe, unaweza kusema ni kivipi zito anatumiwa?...hivi kati ya mbowe aliyeshawishi wenzake waandamane kisha akawakimbia na slaa aliyejificha kwenye gari na bastola na zitto nani wanatumiwa?..kipi ni bora kati ya kuwa mtumwa wa nchi yako ama kuwatumia watanzaia wenzako?...zitto kama anatumiwa basi atakuwa anatumiwa na watanzania na si vinginevyo..na ukitaka kujua hlo basi kazungumze na watanzania wa chini kabisa watakwambia zitto ni nani?..

Mnaotumiwa kama Zitto mpo wengi ila mtashindwa tu.Mtalaanika kwa tamaa zenu hizo.Zitto anatumiwa kuivuruga Chadema itakayotawala 2015 na kamwe hamtashinda wote, yeye na nyie mataanguka chali na mtaaibika sana.Popo wakubwa nyie.
 
Bwana Mbatia hajawahi kunishawishi hata siku moja kama ni mwanamageuzi wa kweli kama chama chake kinavyojipambanua. Mimi namuona kuwa ni mtu ambaye ameugeuza uenyekiti wa chama kama ni ajira na kimsingi yeye pale ameshafikia malengo yake.
 
good, mpamgo umefanikiwa
Mbatia atabaki mwenyekiti
 
Mnaotumiwa kama Zitto mpo wengi ila mtashindwa tu.Mtalaanika kwa tamaa zenu hizo.Zitto anatumiwa kuivuruga Chadema itakayotawala 2015 na kamwe hamtashinda wote, yeye na nyie mataanguka chali na mtaaibika sana.Popo wakubwa nyie.

Ni kweli kabisa mkuu, Chadema itachukuwa nchi 2015 chini ya uongozi wake Mh. Zitto.
 
Ben nafikiri kilichoandikwa na Mwanahalisi kiko wazi kabisa watu mnakizunguka na kuingiza mambo ya Mbowe, kilichoandikwa ni usaliti wa Zitto na undumilakuwili wake kujifanya anaipenda CDM since he was 16 kwa machozi ya mamba huku nyama yake kuu ni madaraka, kwamba kaona si rahisi kufanikisha ndoto zake ndani ya Chadema kwa vile kuna watu makini kule sasa anataka ndoto yake akaitimize NCCR, hiyo ndiyo hoja ya Mwanahalisi. Ben wakati unajibu hiyo hoja naomba unikumbushe ni mbunge gani wa CDM alipewa angalau gari moja la Zitto kufanyia kampeni.

Nani kaongea mabo ya Mbowe? Kipi kilichoandikwa na Mwanahalkisi?kama unakiamini ni juu yako,umepewa majibu bado unajifanya huelewi.Ni hoja gani iliyoandikwa na mwanahalisi?It's a pity huo udaku wa kisiasa unaushabikia blindly.

Ni scandal kusema huyo mwandishi wa Mwanahalisi anajua kujenga hoja.Kuhusu,suala la Zitto kusaidi mbunge gani hilo mimi siwezi kulizungumzia.Inaonekana wewe unadhani msaada ni lazima uwe wa gari tu.

Naomba pia uelewe kitu kimoja,kuna maisha baada ya Siasa.Siasa sio Alfa na Omega.Kwa hiyo kuhusu zitto kumsaidi kafulila wakati wa kampeni mimi sioni tatizo,na nitakuwa mwanasiasa wa hovyo kama nikijiingiza kwenye siasa hizi za u-simba na u-yanga.Siwezi kuwa kama Mzee Mashishanga aliyemlaani Sabodo kwa kuahidi kuichangia Chadema

NB: Wewe ni mwana-CCM unayejulikana kabisa ingawa mara nyingi unajaribu kuwapotosha watu hapa kuwa wewe ni mwanachadema.nilishawahi kukuambia haya mara nyingi sana.Anyways,Goodevening!
 
ukweli ni kuwa zitto na Riziwan kikwete ni marafiki wakubwa so hata kama zitto yupo upinzan hata kubali kumuaiaisha baba wa rafiki yake kipenzi.Atafanya kila liwezekanalo kumridhisha.Mwenyewe zitto kadai eti Rostam sio shetan kwa hiyo ataendelea kuwasiliana nae mwanzo mwisho.kuhusu usalama wa taifa kadai eti mwanasiasa makini anaetaka kuchukua dola lazima awe na mawasiliano ya karibu na usalama wa taifa.
 
Unasingizia tu, hamna ukweli wowote kwenye madai yenu yote

serayamajimbo
 
ukweli ni kuwa zitto na Riziwan kikwete ni marafiki wakubwa so hata kama zitto yupo upinzan hata kubali kumuaiaisha baba wa rafiki yake kipenzi.Atafanya kila liwezekanalo kumridhisha.Mwenyewe zitto kadai eti Rostam sio shetan kwa hiyo ataendelea kuwasiliana nae mwanzo mwisho.kuhusu usalama wa taifa kadai eti mwanasiasa makini anaetaka kuchukua dola lazima awe na mawasiliano ya karibu na usalama wa taifa.

Kubenea,

Unaweza kuja kutufumbulia haya mafumbo baada ya Mwanahalisi kufungiwa?

PM
 
Kama ni kukereka,haka kajamaa zzk kananikera kupita maelezo yani
 
Tunaendelea taratibu kuelewa.
Naikumbuka sana siku ile tukiwa katika kikao cha Halmashauri Kuu ya NCCR, wakaja askari polisi kutukamata eti kuna uvunjifu wa amani mkutanoni, walipoulizwa nani kawambia hivyo wakati sisi tunaendelea na kikao kwa amani, wakasema wamepigiwa simu na mbunge wa CHADEMA!
 
Sina magari ya kifahari. Siamini katika utajiri hata kidogo. Sina biashara yeyote. Kazi yangu ni Ubunge tu. Wenye magari ya kifahari huwaoni?

Mmeaminishwa kwamba mimi nina hela nyingi sana nanyi mkaamini bila hata kuhitaji ushahidi. Ninaishi nyumba ya kupanga Tabata Dar es Salaam. Nina gari moja tu Dar es Salaam aina ya Freelander na moja Kigoma Jimboni GX niliyonunua second hand. Kama una gari yeyote ya kifahari unayoambiwa ni yangu ipige picha uilete hapa JF. Unalishwa sumu na kukubali bila hata kufikiri na unajiita great thinker? Gosh
zitto-1.jpg
 
haya mambo lazima tuyatafakali kwa makini,hii migogoro chanzo chake ni nini?maana kama ni wasomi vijana wengi waliopo vyama mbadala wengi wamesoma,na wanajua dunia ya leo inaendaje,kwanini wakubali kuleta utengano wakati dunia ya leo bila COALITION ya vyama vya siasa hakuna chama chochote kinacho weza chukua dola,angalia huko KENYA
 
Kafulila na Zitto iko kazi mbele yao.

Lakini huyo Mbatia tumesikia muda mrefu akitakiwa na wajumbe wa chama chake aachie ngazi, akitajwa Hashim Rungwe kuongoza huo mkakati, sikuwahi kumsikia Kafulila akihusishwa na huo msukumo.

Au kafulila anacheza mpira nje ya uwanja.

Kafulila anafanana sana na Zitto kwa kucheza mpira nje ya uwanja. Walikuwa marafiki sana wakati Kafulila akiwa Chadema, na sasa ni marafiki wa chini kwa chini.
Wote hawafai katika siasa za ukombozi wa pili.
 
Afadhali kama umelitambua hilo, Zitto ni kirusi hafai hata kwa bure, ni janga la kimataifa na kimataifa, wananchi ni muda wenu wa kujitambua, vyama vingi vya upinzani ni pandikizi wa ccm, tafakarini mara ya mwisho, mkitaka tubadili mfumo huu chama dharimu ccm, njooni tuungane Chadema tukamilishe kazi hii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom