MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,330
Mkuu hakuna cha kumaliza ni aibu mgombea wenu wa ubunge wa CHADEMA kubaka.
Hivi ile ya Mbunge wa Bayi kuihujumu Halmashauri ya CCM huko Mkuranga na hii ipi aibu kubwa au ile si aibu. Utasemaje la Mmwigulu Mchemba kumwingilia mke wa mtu kule igunga kinyume na matakwa ya ndoa yao utaliitaje hilo. Hakuna kuchekana hapa kwa hili kwani nani hajui Vigogo wa CCM kuanzia taifa hadi ngazi za chini ni ma Champion wa ngono tena Zembe. Hapa hakuna wa kumpa pole au kumcheka mwenzie ila kuna wa kumzidi mwenzie kwa uzoefu yaani CCM.