KADA wa CHADEMA Mahakamani kwa kubaka mwanafunzi

KADA wa CHADEMA Mahakamani kwa kubaka mwanafunzi

Kwa hiyo kada wa chama akibaka chama ndo kimebaka?tuweni waelewa.kwan Chadema ni chama cha malaika??
 
waheshimiwa kaeni vizuri, haya mambo yanawakumba, na inasababishwa na mob psychology.
 
Huyo ni mwanadamu kama wengine!! Anaweza kuwa kafanya hivyo kweli ama si kweli. Kuisakama CHADEMA ni uwenda wazimu... CHADEMA si huyo kada ni watanzania wenye mwelekeo chanya kwa mstakabali wa Taifa la Tanzania.
Mkuu hakuna cha kumaliza ni aibu mgombea wenu wa ubunge wa CHADEMA kubaka.
 
Huyu jamaa alimshinda Pfrof Magembe ktk uchaguzi uliopita CCM wakamchakachua, naona sasa wameamua kumzushia kubaka, ushahidi wa kisayansi ndio njia pekee ya kukomesha uzushi huu... polisi walikuwa wapi kwa muda wote huo wa miezi takriban 2 wasimshughulikie kama ni kweli? kwanini hawamwamini mbakwaji wanatoa maelezo kuwa atashawishiwa! very low mahakama zetu...

Makamba Sr alimbaka na kumzalisha mwanafunzi, Samwel Sitta alimbaka na kisha kufumaniwa na mke wa mwanausalama kule Iringa wakati akiwa Mkuu wa Mkoa na mpaka leo picha zipo, List ya waliokuwa wakimbaka Lulu inajumuiisha Zungu, Komba mpaka sasa wamechukuliwa hatua zipi za kisheria?

Badala ya kuzusha na kushadadia huu ----- CCM mtuambie Mabilioni yetu ya USWIS yatarudi lini? CCM watuambie Waliotuingiza kwenye Mikataba mibovu inayoigharimu taifa kama ya Migodi ya dhahabu, almasi, uranium mtawashughulikia lini kwa mujibu wa sheria? CCM mtuambie tatizo la akina mama kuendelea kujifungulia sakafuni litaisha lini? Lini mtaacha kutesa na kua raia wasiokuwa na hatia? akina rama igondu mmewachukulia hatua gani? walio muua Mbwambo kule USA mmewafanya nini? Tatizo la foleni Dar litaisha lini? Matatizo ya Maji na Umeme ufumbuzi wake utapatikana lini? Lini mtaacha kuzalisha wataalam vilaza?...
 
Aaaaaah ruka utakavyo..Ndio ivyo tena mgombea ubunge kabaka wakati mwingine mmeze tuhata Kama chungu

Hivi mkuu nepi mwigulu alivyo fumaniwa na mke wa kada wa ccm lgunga pale iliishaje?
 
Mkuu hakuna cha kumaliza ni aibu mgombea wenu wa ubunge wa CHADEMA kubaka.

Naomba nikuulize kidogo
1. Huyo binti inasemekana amebakwa je alikuwa bikira kama sio huyo aliyemtoa bikira naye alishitakiwa?
2. Katika maelezo kuna sehemu inasema amenyimwa dhamana kwa sababu ataharibu ushahidi kwa kumshawishi mbakwaji kutotoa ushahidi je huoni kama ni mchezo mchafu unaoandaliwa kwa ajili ya 2015?
3. Ni nani aliyefungua mashitaka hayo? Mzazi, alifumaniwa na wananchi au ni yeye mwenyewe mbakwaji ndo kafungua mashitaka?

Tusipende kushabikia sana mwisho wa siku yatakuja kuwa kama ya Kanumba na Lulu juu ya umri.
 
Hivi huyu mbunge wa Chadema alikuwa hana mke.
Mkuu Ritz nini tena kimetokea hapa,
Mie nilikuwa nimelala nimeamshwa na hizi kelele za kubaka... nani kabakwa tenaaa???
Au ndio matumizi mabaya ya demokrasia ya kweli?
 
Mkuu hakuna cha kumaliza ni aibu mgombea wenu wa ubunge wa CHADEMA kubaka.

Kama kabaka mwache afungwe,haijalishi kama ni kada wa Chadema au la..but isiwe kama kina babu seya,then kaka ako Lameck mtamfanya nini baada ya kufumaniwa na mke wa mtu kuleee?au ndo ushahidi hamna?
 
Kama kabaka mwache afungwe,haijalishi kama ni kada wa Chadema au la..but isiwe kama kina babu seya,then kaka ako Lameck mtamfanya nini baada ya kufumaniwa na mke wa mtu kuleee?au ndo ushahidi hamna?
Hivi kwa nini makada wa Chadema wanaandamwa na hizi kesi za kubaka?
Hii ndio matokeo ya kupiga viroba wakati wa jua kali
 
poleni sana chadema.

acha kimbele mbeele
mpe pole makamba kwanza kwani kipindi kile akiwa mwalimu wa shule ya msingi huko tanga iyo si ndio ilikua michezo yake??
Au wewe unadhani ule uvimbe katika paji lake la uso ni wa nin??
 
Makamanda hawa
430257_126351030825767_669163874_n.jpg

Masela.jpg
 
Habari yenyewe imeandikwa kishabiki zaidi, kwani mtu anaenda kubaka kwa baraka za chama!?? akivunja sheria ni yeye na udhaifu wake kama JK na lazima sheria ichukue mkondo wake.Mahakama ifanye kazi yake KWA MUJIBU WA SHERIA na hukumu ya haki itolewe
 
Mkuu Ritz nini tena kimetokea hapa,
Mie nilikuwa nimelala nimeamshwa na hizi kelele za kubaka... nani kabakwa tenaaa???
Au ndio matumizi mabaya ya demokrasia ya kweli?

Mkuu,

Siku hizi umeweka akili yako rehani?? Hata kama uko na "maCCM" jifunze kuwa objective. Hivi hujifunzi chochote tka ka Mchambuzi, Lole Gwakisa ambao ni "maCCM" wenye akili...??

Ukiendelea kutokomea kwenye giza la kina Ritz hata kampuni yako na familia vitakushinda.
 
Kaka kisheria under 18 ni watoto na wanachukuliwa hawawezi kufanya hicho tunachokiita '' KUKUBALI'' kimsingi kisheria hawa huwa hawakubali ( hata kama kweli alikubali na kukiri kukubali ) cuz wanachukuliwa kama watu wasioweza kufanya maamuzi ( ni kama insane ) so ukiwa na mahusiano nao tasfiri ni unakuwa umembaka.

Kasome sheria ya ndoa ya mwaka 1971
 
Naomba nikuulize kidogo
1. Huyo binti inasemekana amebakwa je alikuwa bikira kama sio huyo aliyemtoa bikira naye alishitakiwa?
2. Katika maelezo kuna sehemu inasema amenyimwa dhamana kwa sababu ataharibu ushahidi kwa kumshawishi mbakwaji kutotoa ushahidi je huoni kama ni mchezo mchafu unaoandaliwa kwa ajili ya 2015?
3. Ni nani aliyefungua mashitaka hayo? Mzazi, alifumaniwa na wananchi au ni yeye mwenyewe mbakwaji ndo kafungua mashitaka?

Tusipende kushabikia sana mwisho wa siku yatakuja kuwa kama ya Kanumba na Lulu juu ya umri.

Kamanda, tumia akili japo kidogo unauliza maswali urojo...kwa hiyo mwanamke ambaye siyo bikira hawezi kubakwa?
 
Back
Top Bottom