KADA wa CHADEMA Mahakamani kwa kubaka mwanafunzi

KADA wa CHADEMA Mahakamani kwa kubaka mwanafunzi

Kaka kisheria under 18 ni watoto na wanachukuliwa hawawezi kufanya hicho tunachokiita '' KUKUBALI'' kimsingi kisheria hawa huwa hawakubali ( hata kama kweli alikubali na kukiri kukubali ) cuz wanachukuliwa kama watu wasioweza kufanya maamuzi ( ni kama insane ) so ukiwa na mahusiano nao tasfiri ni unakuwa umembaka.

Asante kwa kunielewesha.
Kwa uelewa wangu mdogo,hawa watoto wamepewa upendeleo kwenye baadhi ya sheria ambapo mpaka mtoto mwenye umri wa miaka 14 anaweza kuajiriwa chini ya mazingira yasiyodhuru ukuaji wake kimwili na kiakili n.k Kama hivyo ndivyo,kwanini upande wa makosa uwe very strict bila kuwa na exceptions kwenye mazingira kama hayo niliyoeleza juu?Kwa mawazo yangu,Mabadiliko ya sheria yanapaswa yashahabiiane na mabadiliko ya kimazingira.Nina lundo la msgs za huyu mtoto,nimerecord hata mazungumzo yake jinsi anavyobeg na kunicompel nisex nako...Kuna mapungufu kweli.
 
Ndio unamumue huo,jamaa kapatikana tu, mbona Capt Komba nae alikuwa anambaka Lulu?

tena siyo komba pekee.
Yupo ngeleja,yule wa bukoba vijijini,
tena wamempigania mpaka sasa yupo mtaani anakula bata kimya kimya.
 
Tofautisha u-anadamu na imani. u-anadamu na chama. HUYU ni muhalifu tu na achukuliwe hatua bila kujali ni chadema au CCM. ila anapokuwa yy ni kiongozi hapo tena ana beba VYOTE!!! tusizoee kuelekeza kupindisha sheria, matendo yake mbele ya jamii yawe ni ushahidi kwa hukumu yake
 
umemaliza?haya nenda kachukue posho kwa nchemba,najua chadema inawaumiza sana kichwa ata baba yako mwigulu leo star tuongee asubuhi anaulizwa maswala ya cuf anajibu ya chadema,ata kijana yeyote akifanya kitu ni chadema tu,mabadiliko ni lazima kwenye nchii.

huwezi kutumia akili kidogo ukapunguza mahaba halafu ukauona ukweli? Mbona comment yako imekaa kishabiki mno?
 
Mtu mzima ovyo, mbunge mzima unafakamia wajukuu zako?
 
Ivi wanawake wote hawa hadi mtu mzima ukabake ni utaahira wa ubongo au ni tabia
 
tena siyo komba pekee.
Yupo ngeleja,yule wa bukoba vijijini,
tena wamempigania mpaka sasa yupo mtaani anakula bata kimya kimya.

kwa hiyo mnalipiza kisasi? Usitetee uovu kwa justification ya uovu wewe
 
Hii ni tabia na akili ya kinyama kabisa ambayo kila binadam anapaswa kuichukia na kuikemea...huu ni ushamba huu
 
Yeah! Ril man coz angebaka wa ccm kichwa chahabari kingekua kada wa ccm atuhumiwa kwa ubakaji!
 
Pro.magembe wananchi wamwanga hawamtaki xo skendoz kama hizi hazi2pi presha chalii,then ikumbukwe vema kua ugweno walimshusha jukwaani wakamsepesha kwao usangi! Xo hiz ni case za kixiaxa kama za boss wa IMF!
 
Mtu anapofanya kosa kama hili tuacheni kusema vibaya chama chake maana hajashonewa chama chake kwenye mwili. Hata ivyo, bado wanachama wa chadema ni walewale binadam wa kawaida.
 
kwa hiyo mnalipiza kisasi? Usitetee uovu kwa justification ya uovu wewe

nashukuru umeisoma kimya kimya kale kajukuu chenu mjue
mmekatia laana mpaka kaonja segerea
 
Mkuu hakuna cha kumaliza ni aibu mgombea wenu wa ubunge wa CHADEMA kubaka.

mi ritz unanifurahishaga kitu kimoja, kuna mada ikiwekwa hapa unakuwa mpoleeeeeee-no comment. ikijitokeza tu inayozungumzia hasa kashfa kwa cdm, unachangia huyo, mpaka wana cdm wenyewe wakome. congr. kwa jitihada za kupalilia ulaji
 
Back
Top Bottom