KADA wa CHADEMA Mahakamani kwa kubaka mwanafunzi

KADA wa CHADEMA Mahakamani kwa kubaka mwanafunzi

Aliishiwa mistari halafu binti hamwelewi akaona bora atumie nguvu za kijeshi.Chezea magwanda
 
Hivi yule mzee malechela alimuoa Kilango akiwa kijana wa miaka mingapi vile?
umri si kumbuki lakini tushukuru mungu walau kaoa.sasa kuna mzee mmoja huyo sasa hivi kesha kuwa babu kabisa lakini bado tu yuko kwenye uchumba! hebu vuta picha!
 
umri si kumbuki lakini tushukuru mungu walau kaoa.sasa kuna mzee mmoja huyo sasa hivi kesha kuwa babu kabisa lakini bado tu yuko kwenye uchumba! hebu vuta picha!

Ushakula matapishi tayari. Kwani huyo unayemsema isingekuwa ccm mnagharimia kesi na vipingamizi vya ndoa daily si angeshaoa tayari?
 
Mkuu naona povu limeanza kukutoka,sawa mimi kauzu, najua jazba ni sehemu ya mafunzo uliyopitia,hili halinishitui hata kidogo!

Mkuu hakuna povu mie nakujibu kutokana na unavyokuja ndiyo utaratibu wangu, wewe umeniambia kwani mie sijawahi kubaka unategemea takujibu nini kamanda ili twende sawa.
 
Hivi huyu mbunge wa Chadema alikuwa hana mke.
 
Imekuwa kawaida hivi vitoto kukung'ang'ania halafu mwisho wa siku unawekwa mpango ionekane umekabaka kwa sababu za kiumri wakati kaliridhia na kupenda kenyewe.Kuna mtoto wa miaka 15 ananililia mtaani kwetu nimbikili kabla hajafungua shule,namkimbia na haishi kuja kwangu na kujifanya anashinda na mwanangu wa mwaka mmoja.Je katika mazingira hayo nani anamuwinda mwenzake kumbaka?
Poleni wana Chadema.Sheria ifate mkondo wake.
 
umemaliza?haya nenda kachukue posho kwa nchemba,najua chadema inawaumiza sana kichwa ata baba yako mwigulu leo star tuongee asubuhi anaulizwa maswala ya cuf anajibu ya chadema,ata kijana yeyote akifanya kitu ni chadema tu,mabadiliko ni lazima kwenye nchii.

Wapigie na mwananchi uwambie wakachukue posho
 
Kama ni kweli wacha ashughulikiwe ili liwe fundisho kwa viongozi wa nchi hii kwani viongozi wahuni hawatufai. Uongozi ni usafi na tunatakiwa kukaa mbali na viashiria vya uchafu..! Ni aibu kuwa na viongozi wachafu ndani ya cdm, viongozi wachafu waendelee kubakia huko huko ccm..!
 
Ushakula matapishi tayari. Kwani huyo unayemsema isingekuwa ccm mnagharimia kesi na vipingamizi vya ndoa daily si angeshaoa tayari?
kweli chadema ccm inawapasua kichwa. yaani mtu haoi mpaka miaka 70,yeye kazi tu ni mambo ya wachumba halafu ninyi mkikurupuka mnakibilia kuilaumu ccm?basi naasubirie ccm itamuozesha! acheni hizo bwana!
 
Ha haa ha. Habari ya siasa imeletwa habari mchanganyiko...wakati habari za Nchemba zimeachwa jukwaa la siasa.

ndo jf ...topic za moto kwa chadema wanazihamisha
 
Hivi huyu mbunge wa Chadema alikuwa hana mke.

Yah! Nahisi hakuwa naye maana hata mh malima.o angekuwa na mke asingeshawishika hadi akaporwa na kuachiwa bunduki hotelini pale Morogoro
 
kweli chadema ccm inawapasua kichwa. yaani mtu haoi mpaka miaka 70,yeye kazi tu ni mambo ya wachumba halafu ninyi mkikurupuka mnakibilia kuilaumu ccm?basi naasubirie ccm itamuozesha! acheni hizo bwana!

Hahahaaaaa! Unadhani hatujui kuwa ccm is behind all that saga? Mbona le mutuz alikiri juzi kuwa ccm inaunda kashfa na kuzi publicize kwa nguvu mitandaoni using the so called jeshi la mtandao? Acheni kumsumbua muone kama hajafunga ndoa the same day.
 
Magamba naona yameshadadia sana hii habari!Kwanza uhakika wenyewe hamna kazi kuropoka tu!
 
Mwananchi co. at work... mbona huku mitaani hayo yapo madogo wanatoa wenyewe na wanamegwa kama kam
 
Aliishiwa mistari halafu binti hamwelewi akaona bora atumie nguvu za kijeshi.Chezea magwanda

Hahahaaaaa! Kama mh naibu waziri alivotumia pesa akaishia kuporwa pale Morogoro. Chezea magamba wewe!
 
Back
Top Bottom