KADA wa CHADEMA Mahakamani kwa kubaka mwanafunzi

KADA wa CHADEMA Mahakamani kwa kubaka mwanafunzi

Aaaaaaaah eti amekatwa mkono ivi nyinyi lini mtaacha visa...alipowaonesha mkono wake kua ni mzima mlitoka mbio bila majibu

Hahahaaaa! Kawaida yenu kukurupuka. Nani kakwambia mi namzungumzia huyo? Hapa namsemea yule aliyepelekwa ujerumani. Kama hujui sema tukwambie
 
Nyinyi mkihukumu humu kua watu mafisadi huwa washahukumiwa na mahakama?!kweli nyani haoni............

ni adress mimi Osokoni usitumie wingi nionyesha thread niliyoanzisha kumhukumu mtu ni fisadi! sana sana nimemhukumu EL na kwa kuwa kamati teule ya bunge chini ya makyembe ilionyesha hivo nae ka respond kwa kujiuzulu!
 
Tunaomba picha ya huyo jamaa akiwa kizimbani isiwe maneno tu kama mwigulu
 
Mkuu hakuna cha kumaliza ni aibu mgombea wenu wa ubunge wa CHADEMA kubaka.

Comrade Ritz,

Kabaka yeye sio chama, mbona tunaambiwa mafisadi ni wanachama sio chama?
 
Hahahaaaa! Kawaida yenu kukurupuka. Nani kakwambia mi namzungumzia huyo? Hapa namsemea yule aliyepelekwa ujerumani. Kama hujui sema tukwambie
Aaaaaah ruka utakavyo..Ndio ivyo tena mgombea ubunge kabaka wakati mwingine mmeze tuhata Kama chungu
 
Ritz kuna ingredients za rape
kama penetration, michubuko kama kulikuwa na resistance, mbegu za kiume kama alipima
pentration pekee au michubuko au mbegu lazima ziambatane na uthibitisho usiotia shaka kama DNA na other supporting evidence kwani binti anaweza kuwa aeingiliwa na mtu mwingine
hata hivo hakimu nae namshangaa kukubali mshtakiwa asipewe dhamana eti ataharibu ushahidi sio hoja ya msingi.
ni kesi mabayo ina dhamana na anaweza kupewa dhamana na masharti, mahakimu wengine wanakurupuka au hawajui sheria ipasavo, kumnyima mtu dhamana bila sababu za msingi za upande wa mashtaka ni ubabaishaji
kwa hii kesi wakaili mwerevu ataweza kwani upande wa mashtaka bado hawajui kuthibitisha kesi zao.
 
amebaka au amefanya tendo la ndoa na mtu huyo?? sijaelewa dhana ya ubakaji imekaaje hapa. anyway sheria nayo inamatege!
 
Mbona tuhuma kama hizi zinaweza kuwa kwa mwanamume yeyote? Chadema au CUF au CCM kama chama hawakuhusika na tabia ya huyu mtu. Uovu hauna chama cha siasa.
 
Mkuu hakuna cha kumaliza ni aibu mgombea wenu wa ubunge wa CHADEMA kubaka.

Point of correction mkuu anatuhumiwa kubaka, so dont jump on conclusion na kujigeuza mahakama, innocent till proven guilty.

  • :shut-mouth:
 
Ndio unamumue huo,jamaa kapatikana tu, mbona Capt Komba nae alikuwa anambaka Lulu?
 
Poleni sana CHADEMA.
hiyo pole ni ya kweli?au ni dhihaka?.je ulimpa pole mzee Mwinyi aliye kuwa rais wa tz na mwenyekiti wa chama alipo mbaka na kumuowa mtoto wa kidato cha 4 wa Kitwana kondo?.
 
Mkuu hakuna cha kumaliza ni aibu mgombea wenu wa ubunge wa CHADEMA kubaka.

Ni aibu zaidi kwa magamba kutowachukulia hatua wezi wa EPA,Richomond,mafisadi walioficha fedha zetu uswis na kwingineko.Mwigulu nchemba anapowachukua wake za watu mnaona ni sawa tu eti? Shame on you gambaz!!!
 
umri si kumbuki lakini tushukuru mungu walau kaoa.sasa kuna mzee mmoja huyo sasa hivi kesha kuwa babu kabisa lakini bado tu yuko kwenye uchumba! hebu vuta picha!

Anakuchumbia?Mkubalie tu!
 
ha,haaa kweli kubaka ni kitendo kibaya,lakini hivi ubakaji na wizi wa mali za umma yote si madhambi? tena wezi mnaathiri watu wengi zaidi
 
Back
Top Bottom