OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
Unaweza ku prove beyond doubt kuwa kabaka? wewe ni mahakama, ficha upumbavu wako onyesha hekima yako kama unayo hata kidogo!Kiongozi ni kioo cha jamii ni aibu kwa mtu ambaye anategemewa kuwa mbunge kumbaka binti wa miaka 17.