Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,908
- 46,430
Mkuu Ritz nini tena kimetokea hapa,
Mie nilikuwa nimelala nimeamshwa na hizi kelele za kubaka... nani kabakwa tenaaa???
Au ndio matumizi mabaya ya demokrasia ya kweli?
Kuna kamanda mmoja wa Chadema baba zima limekwenda kukubaka kabinti kadogo kana umri wa miaka 17. cha kushangaza makamanda wote wanamtetea mbakaji.