CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Mbona hawa jamaa wanasumbuliwa sana na ugonjwa huu wa kubaka?alianza mkulu wao kwa kupora mke wa mtu,akafatia mwingine akambaka mdogo wake DAVID BECKHAM,leo tena huyu kabaka katoto ka sec.Sasa hawajachukua nchi tayari wanausongo na CHANNEL 'O'jee wakichukua nchi si dada zetu watapata tabu wajameni?Mkuu hakuna cha kumaliza ni aibu mgombea wenu wa ubunge wa CHADEMA kubaka.