mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 257
Kweli siasa za tanzania ni maji taka. Badala ya kuleta hoja za msingi humu jamvini mnaleta upumbavuuu....????
Ndege wafananao ndiyo wanaruka pamoja.
Swali kwa swali hatuwezi kusonga mbele!kama huna jibu ni vema kukaa kimya!Mkuu unaonaje ili swali ungemuuliza dada yako? Nadhani ungepata majibu murua.
Precisely mkuu!ecosystem inafanya kazi yake!Matukio ya kawaida kwenye jamii
Mkuu hakuna cha kumaliza ni aibu mgombea wenu wa ubunge wa CHADEMA kubaka.
Lazima wanasheria wetu wa wafanye kazi kwa sasabu ni tabia ya CCM kuwabambikia kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu wapinzani ili kuwapotezea muda,na kama hakuna utetezi wa kutosha kuwafunga kabisa!Jopo la wanasheria wa Chadema wakiongozwa na Tundu Lissu, Prof Safari, Mabere Marando.
Kamanda kabaka mteteeni mpaka ashinde kesi.
Kada Maarufu wa CHADEMA,Shafii Yatera (40),ameuanza mwaka 2013 akiwa Gereza kuu la karanga Mjini Moshi.
Alipandishwa kizimbani juzi mbele ya hakimu mkazi Sophia Masati,akikabiliwa na tuhuma za kumbaka msichana wa miaka 17 ambae ni mwanafunzi wa shule ya sekondari Msasani.
Kada huyu ndiye ambae alichuana kwenye Uchaguzi mkuu wa 2010 jimbo la mwanga na Waziri wa Maji,Jumanne Maghembe na kushika nafasi ya pili.
Akimsomea mashtaka yake,wakili wa Serikali kanda ya Moshi,Oscar Ngole alidai kuwa Nov 1,2012,mshtakiwa alimwnglia kimwili mwanafunzi huyo wa kidato cha 4 kinyume na sheria.
Wakili huyo alidai kuwa mtuhumiwa alichokifanya ni kinyume na kifungu 130(2) (e) na 131 cha kanuni ya adhabu sura ya 16,adhabu yake ni jela miaka 30.
Kada alikanusha mashtaka hayo na kurudi rumande.
Source-Mwananchi,jumatano,januari 2,2013
Tena kichwa cha habari kilitakiwa kisomeke kuwa;
Mbunge wa CHADEMA abaka kitoto.
Swali kwa swali hatuwezi kusonga mbele!kama huna jibu ni vema kukaa kimya!
Lazima wanasheria wetu wa wafanye kazi kwa sasabu ni tabia ya CCM kuwabambikia kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu wapinzani ili kuwapotezea muda,na kama hakuna utetezi wa kutosha kuwafunga kabisa!
Mkuu naona povu limeanza kukutoka,sawa mimi kauzu, najua jazba ni sehemu ya mafunzo uliyopitia,hili halinishitui hata kidogo!Wewe kauzu kweli unaweza kuniambia mie nikae kimya? Kada wa Chadema kabaka halafu unaniuliza maswali.
Jopo la wanasheria wa Chadema wakiongozwa na Tundu Lissu, Prof Safari, Mabere Marando.
Kamanda kabaka mteteeni mpaka ashinde kesi.
jamaa badala ya kutibu tatizo la kuwashawishi vuiongozi wao wawe na tabia njema na waache tabia chafu kama ya ubakaji,kuchukua wake za watu,kukaa na mchumba bila kuoana hadi miaka 70 na kadhalika; wao kazi tu kuilamu ccm.hivi ccm ndo imemtuma huyo kada wenu akamtililili mwanafunzi? tehe!tehe! tehe! akili nyengine bwana!Kwa hiyo mbunge wenu kabambambikiziwa kesi hakubaka.
Mkuu hakuna mwenye uhakika na hili,na ikumbukwe kuwa huyu jamaa ni mtuhumiwa na mahakama itatoa uamuzi wa shauri hili na ukweli utajulikana.Kwa fitina za CCM mimi siamini kama huyu jamaa amebaka,mahakama ikithibitisha hivyo basi mimi nitakuwa wakwanza kuamini!Kwa hiyo mbunge wenu kabambambikiziwa kesi hakubaka.
jamaa badala ya kutibu tatizo la kuwashawishi vuiongozi wao wawe na tabia njema na waache tabia chafu kama ya ubakaji,kuchukua wake za watu,kukaa na mchumba bila kuoana hadi miaka 70 na kadhalika; wao kazi tu kuilamu ccm.hivi ccm ndo imemtuma huyo kada wenu akamtililili mwanafunzi? tehe!tehe! tehe! akili nyengine bwana!