Huyo ndo hafai kabisaaaaa hana tofauti na Profesa!Slaa rudi mzee hawa jamaa hawawezi harakati wanafanya siasa tu
Huyo ndo hafai kabisaaaaa hana tofauti na Profesa!Slaa rudi mzee hawa jamaa hawawezi harakati wanafanya siasa tu
Kakutana nao tu kwa hisani ya tume na dola,hii sawa na kuokota helaHakujiandaa ki vipi mkuu?
Ukweli gani?Seif amefanyiwa hila katika uchaguzi uliopita.Yeye kukataa kumpa mkono Dr.Shein ni njia ya amani ya kupinga kupokwa kwa demokrasia chini ya Jecha.Au ulitaka Seif aitishe maandamano ya wafuasi wake?Eti wanataka aogope kusema ukweli. Lazima Seif apewe ukweli wake!
tena kwa mwendo kasikweli kabisa mkuu,rais yupo mstari wa mbele kuligawa taifa
Kwahiyo unasemaje?Mkuu kuna kitu hakipo sawa, lazima tuseme bila kuogopa, zile sio kauli za Raisi wa nchi, tukimwacha aendelee kutoa kauli kama hizi atachafua nchi
Huo ni mtizamo wako binafsi. Kila mtu ana maoni yake. Usitulishe unachokiaminiAnandika Chilumba (yule mpiga zumari wa JPM)
Matamshi aliyoyatoa Ndugu Rais leo hapa Unguja sikuyatarajia yatoke kwenye kinywa cha mkuu wa nchi, Haya yanamwagia mafuta kwenye moto.
Suala kama la pensheni au matibabu ya mtu aliyewahi kuwa Kiongozi ni la kisheria siyo hiyari ya mtu, Yaan hata umfumanie na mkeo Sheria inakutaka usaini na apewe. Mengine mmalizane wenyewe.
Na kwa kuwa Tumesema siasa zimeisha Basi tujitahidi kuzimaliza kweli, sare za vyama, vijembe na maneno ya ngebe kwenye mikutano ya serikali inawagawa raia.
Siku zijazo wasio wana CCM wanaweza kuacha kuhudhuria mikutano ya Kiongozi mkuu wa nchi kwa sababu wanajihisi wanyonge na wakiwa.
Tuzungumze Maendeleo, kufanya kazi na kubadili maisha yetu, hawa Wakosoaji na wapinzani watakuwepo daima, kuwashambulia katika jukwaa lililolipiwa kodi na watu wote ikiwemo wao si jambo la kiungwana.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Hotuba za Ndugu Rais katika ziara yake visiwani hazijanivutia wala kusisimua. Zimeiacha Zanzibar katika mtafaruku ule ule au mkubwa zaidi.
[emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]
Waswahili husema _"kenge huwa hasikiagi hadi damu imtoke masikioni"_. Masikio ya Chilumba yameanza kuonesha dalili za damu
Si katika mazingira yote sheria na haki za binaadamu huzingatiwa! Ingekuwa hivyo Marekani isingefungua gereza la Guantamo bay kutesa binaadamu kinyama, wala Wapalestina wasingeteswa na kufurushwa nchini mwao! Na Marekani, Uingereza na Israel zingekuwa nchi za Mwanzo kulaaniwa na Umoja wa mataifa na kufikishwa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kibinaadam.Anandika Chilumba (yule mpiga zumari wa JPM)
Matamshi aliyoyatoa Ndugu Rais leo hapa Unguja sikuyatarajia yatoke kwenye kinywa cha mkuu wa nchi, Haya yanamwagia mafuta kwenye moto.
Suala kama la pensheni au matibabu ya mtu aliyewahi kuwa Kiongozi ni la kisheria siyo hiyari ya mtu, Yaan hata umfumanie na mkeo Sheria inakutaka usaini na apewe. Mengine mmalizane wenyewe.
Na kwa kuwa Tumesema siasa zimeisha Basi tujitahidi kuzimaliza kweli, sare za vyama, vijembe na maneno ya ngebe kwenye mikutano ya serikali inawagawa raia.
Siku zijazo wasio wana CCM wanaweza kuacha kuhudhuria mikutano ya Kiongozi mkuu wa nchi kwa sababu wanajihisi wanyonge na wakiwa.
Tuzungumze Maendeleo, kufanya kazi na kubadili maisha yetu, hawa Wakosoaji na wapinzani watakuwepo daima, kuwashambulia katika jukwaa lililolipiwa kodi na watu wote ikiwemo wao si jambo la kiungwana.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Hotuba za Ndugu Rais katika ziara yake visiwani hazijanivutia wala kusisimua. Zimeiacha Zanzibar katika mtafaruku ule ule au mkubwa zaidi.
[emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]
Waswahili husema _"kenge huwa hasikiagi hadi damu imtoke masikioni"_. Masikio ya Chilumba yameanza kuonesha dalili za damu
Unadhani alikuwa anaongea na seif au wazanzibar wote... hivi fujo zikitokea unadhani seif ataingia barabarani au wapenzi wake ndio watasimama na kumtetea??Ilibidi Seif aambiwe ukweli.....inaonekana huwa mnavutiwa na hotuba za Rais sababu kila kukicha mnamnukuu.....inapendeza sana hii.
Si katika mazingira yote sheria na haki za binaadamu huzingatiwa! Ingekuwa hivyo Marekani isingefungua gereza la Guantamo bay kutesa binaadamu kinyama, wala Wapalestina wasingeteswa na kufurushwa nchini mwao! Na Marekani, Uingereza na Israel zingekuwa nchi za Mwanzo kulaaniwa na Umoja wa mataifa na kufikishwa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kibinaadam.