Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,732
CCM yangu...!! duuh..!! hata nashindwa kuongea..!! sijui nitetei vp hapa.. nashindwa..!!
Anyway, ukitaka kumjua KIONGOZI au Mtu mwenye hekima, karama, busara, moyo wake, roho yake, utu wake, undani wake, akili yake, mwelekeo wake, upendo wake, imani yake, sura yake halisi ni mtu wa aina gani... muache ANENE...!! muache ASEME... muache AONGEE...
Mtu yeyote akiongea dak. 10 utamjua huyu ni nani..!! kabisa.. unless ur hv mental hysteria, you won't recognise anything... even you don't need a psychology tutor to know this.. just a common sense..!!
Siasa kweli zina wenyewe.. am out here..!!