Tuna mpataje ili tumuulize?Mwenye kuweza kukupa majibu fasaha ni mwenye anamiliki hivi vitu vyote...
Haiwezekani vitu vikatokea tu pasipo kuwa na nguvu ya umiliki tusoijua kabisa...
Tuna mpataje ili tumuulize?Mwenye kuweza kukupa majibu fasaha ni mwenye anamiliki hivi vitu vyote...
Haiwezekani vitu vikatokea tu pasipo kuwa na nguvu ya umiliki tusoijua kabisa...
Una uthibitisho kwamba tuliumbwa kuzaliana au unafosi tu kwamba tuliumbwa kuzaliana?Ushatengeneza mfumo huu + ni tendo la kuongeza - ni kupunguza 3+7=10 , 5-3=2 simple tunaendelea kuzaana kama tulivyoumbwa kuzaliana, niliumbwa, pia ni lazima nizaliwe
Jumla ya miaka ya Historia katika Biblia tangu kitabu cha mwanzo mpaka sasa ni miaka 6,000, ushahidi wa Kihistoria unaonyesha binadamu wamekuwepo duniani kwa zaidi ya miaka 300,000.Kiukweli vedas ndiyo naisikia kwako nitaifuatilia nione inasemaje pia kuhusu mambo yasiyo dhihirika kwa upande wangu naona biblia ipo wazi sana labda unitajie maeneo kadha yenye utata nione
Umeyakanyaga 😹Mzee wa kukataa uwepo wa Mungu, unaona katika maelezo yangu nimetaja neno Mungu?
Mnampiga mande 😹😹Jumla ya miaka ya Historia katika Biblia tangu kitabu cha mwanzo mpaka sasa ni miaka 6,000, ushahidi wa Kihistoria unaonyesha binadamu wamekuwepo duniani kwa zaidi ya miaka 300,000.
Muulize hilo gharika lilifika Tanzania au liliishia huko huko uyahudini kwa kina Nuhu?Hakuna ushahidi wa kuwahi kutokea gharika ya dunia nzima, mambo yanaoelezwa kuhusu gharika ikiwemo kukusanywa wanyama wawili wawili wa aina zote dunia nzima kwenye safina ya Nuhu haiwezekani.
Tumekataza kutumia silaha nzito 😹Uliumbwa au Mama yako aliingia leba kukuzaa?
Unawajibu vipi wanaosema ulimwengu wenyewe ndio god (pantheism) ?
Pale ndo tulipigwa hakuna mfano, wamesababisha kuwe na matawi madogo ya kina TMA nao wana El Niño 😹Maeneo yenye utata kihistoria tuanze na gharika ya Nuhu ya ulimwengu mzima.
Historia inaonyesha watu walikuwa wanazungumza lugha tofauti kabla hata ya kuwepo Ufalme wa Babel.Kiukweli vedas ndiyo naisikia kwako nitaifuatilia nione inasemaje pia kuhusu mambo yasiyo dhihirika kwa upande wangu naona biblia ipo wazi sana labda unitajie maeneo kadha yenye utata nione
Thibitisha uwepo wa Mungu.Mungu
Akili za binadamu zitawaza Mungu alitokea wapi
Mungu ndiye chanzo na yeye ndio aliyeumba Muda
Hakuna kuacha ndala hapa, rudi utetee hoja ya uzi wako..!! 😹Nimekuelewa. Hata hivyo, hoja yangu haikuwa kwamba uwepo wa ulimwengu unathibitisha moja kwa moja uwepo wa Mungu, bali unaweza kutumika kama msingi wa hoja ya kifalsafa inayohitaji kuchunguzwa. Kama hoja hiyo haikutoshelezi, tunaweza kuishia hapo bila kulazimishana kukubaliana.
Adamu tu aliishi zaidi miaka 900 kama sikosei nuhu tu 600+ na kuna kizazi hapa katikati kilipita watu wameishi miaka mia mia mia, pia sihamini sana kuhusu upimaji wa miaka ya kihistoria naonaga kama ya uongo anyway lakini ndiyo hivyo ina maana kuna zaidi ya miaka 6000 ulisemaJumla ya miaka ya Historia katika Biblia tangu kitabu cha mwanzo mpaka sasa ni miaka 6,000, ushahidi wa Kihistoria unaonyesha binadamu wamekuwepo duniani kwa zaidi ya miaka 300,000.
Atachanganyikiwa tu,Muulize hilo gharika lilifika Tanzania au liliishia huko huko uyahudini kwa kina Nuhu?
Sahihi ila kuna mambo utaendelea kujiuliza ila hutapata majibuNi kweli, akili ya binadamu ina ukomo, lakini ukomo wa uelewa wetu haumaanishi kwamba hatupaswi kuendelea kutafuta majibu. Kutokujua jibu si uthibitisho kwamba hatuwezi kulipata, wala si uthibitisho kwamba maelezo yoyote tunayoyaamini ni ya kweli. Muhimu ni kuendelea kuuliza, kuchunguza na kukubali pale ambapo bado hatuna jibu la uhakika.
Kwasababu hoja zake zina mashiko kuliko nyengine zozoteSasa kwa nini ulimuamini Allah na sio Yehova au Brahma??
AI anayotumia huyu member De gunner, Eleven, (1995_ No_ Ku_ Fake) imeishiwa majibu.Hakuna kuacha ndala hapa, rudi utetee hoja ya uzi wako..!! 😹