2v2
JF-Expert Member
- May 7, 2025
- 232
- 344
Kumbe unajua kuna uhai ndani yake basi huo uhai ni nini na ndani unakaajeKijusi kinakuwa hai ndio maana mimba ina endelea kukua.
Kijusi kikifa mimba inakuwa imeharibika na kijusi kinatolewa tumboni.
Kumbe unajua kuna uhai ndani yake basi huo uhai ni nini na ndani unakaajeKijusi kinakuwa hai ndio maana mimba ina endelea kukua.
Kijusi kikifa mimba inakuwa imeharibika na kijusi kinatolewa tumboni.
Mutaendelea kulumbana bila kupata majibu ya maswali yenu mpaka pale mtakapoamini kwamba huu ulimwengu na vyote vilivyomo ndani yake vina mwenyewe yule aliyeviumba!!!!Kumbe unajua kuna uhai ndani yake basi huo uhai ni nini na ndani unakaaje
Haturumbani tunajaribu kutengeneza hoja kwa kila mmoja kwa upande wake anao uelewa na kuamini pia nami na amini hivyo.Mutaendelea kulumbana bila kupata majibu ya maswali yenu mpaka pale mtakapoamini kwamba huu ulimwengu na vyote vilivyomo ndani yake vina mwenyewe yule aliyeviumba!!!!