Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,361
- 6,892
Nishabishana naye sana kuhus hilo jambo na KirangaThibitisha uwepo wa Mungu.
Nimemsaidia Infropreneur kuuliza, mana najua lazima akifika akuulize hilo swali..!! 😹
Nishabishana naye sana kuhus hilo jambo na KirangaThibitisha uwepo wa Mungu.
Nimemsaidia Infropreneur kuuliza, mana najua lazima akifika akuulize hilo swali..!! 😹
Ni kweli, sema tu pale walichafuliwa usemi wao ili lengo lao lisitimiee kama sijakoseaHistoria inaonuesha watu walikuwa wanazungumza lugha tofauti kabla hata ya kuwepo Ufalme wa Babel.
Unaamini kuna watu wamewahi kuishi miaka 900+ ?Adamu tu aliishi zaidi miaka 900 kama sikosei nuhu tu 600+ na kuna kizazi hapa katikati kilipita watu wameishi miaka mia mia mia, pia sihamini sana kuhusu upimaji wa miaka ya kihistoria naonaga kama ya uongo anyway lakini ndiyo hivyo ina maana kuna zaidi ya miaka 6000 ulisema
😹😹😹 Ataacha ndala sasa hivi..!!Atachanganyikiwa tu,
Nianze kumuuliza na hayo maji yaliyojaza Dunia nzima yalienda wapi, imekuaje bado tukaendelea kuwa na Sato wa maji baridi huko Victoria na Jodari wa maji ya Chumvi huko baharini kama maji yote yalichanganyika!
• Kwanini uko sahihi:Pia,
"Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.
If complex systems require a creator then creator requires a more complex creator that imply an infinite chain of creators that get more and more complex.
Kusema kwamba Mungu ni necessary being ni kufosi.
Na ni kufanya logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.
The special pleading fallacy happens when someone applies a general rule to everyone else, but claims an unjustified exception for themselves or their topic.
It relies on a double standard and changes the criteria mid-argument without a valid reason.
Huyo mtoto mjinga, mi kuna uzi wake mmoja alinichosha. Namuuliza maswali naye anaenda kuiuliza AI then anakuja na majibu.AI anayotumia huyu member De gunner, Eleven, (1995_ No_ Ku_ Fake) imeishiwa majibu.
Ikaamua tu, imwambie tukubaliane kutoku kubaliana.
We agreed to disagree.
Maana hata AI mwenyewe kakosa majibu yenye uthibitisho. Inazunguka tu na hoja zilezile zisizo na uthibitisho.
Ndiyo na amini maana ni swala la imaniUnaamini kuna watu wamewahi kuishi miaka 900+ ?
Ulimwengu ni kila kitu pamoja na consciousness, upendo, chuki, maumivu, Sanaa, nyota, matetemeko, El Nino, energy n.k Ni kila kitu.
Mapungufu ya Hoja Yao (Zana za Kupinga)
• Mabadiliko vs. Ukamilifu
Ulimwengu unabadilika, unachakaa, na nyota zinakufa. Kimantiki, Mungu wa kweli anapaswa kuwa kamilifu na asiyebadilika.
• Mchezo wa Maneno tu
Kukiita kile ambacho sayansi inakiita "asili" au "fizikia" kwa jina la "Mungu" hakubadili ukweli kwamba ni mfumo wa kimaada tu.
• Haina Maadili wala Utambuzi.
Ulimwengu hauna hisia, hauna upendo, na hausikilizi sala. Tetemeko la ardhi au jua halichagui mwema wala mbaya.
Hitimisho fupi:
Pantheism inachanganya "Kazi ya Sanaa" (Ulimwengu) na "Msanii" (Muumba). Ulimwengu unaonyesha tu utukufu na mpangilio wa Muumba, lakini wenyewe si Muumba.
Ni sawa ukisema ni imani kwa sababu katika imani unaweza kuamini na watu huwa wanaamini chochote na wala hakihitaji ku make sense.Ndiyo na amini maana ni swala la imani
Hata mimi nilimwambia kutumia AI ni uvivu wa mtu kufikiri.Huyo mtoto mjinga, mi kuna uzi wake mmoja alinichosha. Namuuliza maswali naye anaenda kuiuliza AI then anakuja na majibu.
Ikabidi nimwambie kama unataka tuelewane achana na AI kwanza. Jibu, jibu kama wewe.
Siku hizi humu jukwaani watu hawachoshi akili, anaitumia AI kumuandikia uzi na member wengine walivyo vichwa maji wanasifia wakati ni AI mtupu kaandika uzi..!!
😁 Sifosi hata wewe unajua lazima mwanaume apande mbegu katika tumbo la uzazi la mwanamke ndiyo mtoto azaliwe kuhusu uhai una jua kabisa hata nafsi na roho yako vinahisi viko katika mwili ulio tengenezwa katika tumbo la mama yako 😎Una uthibitisho kwamba tuliumbwa kuzaliana au unafosi tu kwamba tuliumbwa kuzaliana?
Sahihi ndiyo maana ni ngumu kusibitisha imani ipi ni ya kweli mpaka yatimieNi sawa ukisema ni imani kwa sababu katika imani unaweza kuamini na watu huwa wanaamini chochote na wala hakihitaji ku make sense.
Hapo ndio pale mzee amekadiriwa kimoja sekunde 30 tu chali mtu anashangazwa dakika 30 imo tu mtu kasimamia kucha😁😹😹😹 Ataacha ndala sasa hivi..!!
Imekuwa fashion sasa hivi jukwaani, wewe chunguza nyuzi nyingi ni AIHata mimi nilimwambia kutumia AI ni uvivu wa mtu kufikiri.
Kwa sababu AI iko programmed kutetea hoja zote za pande zote bila kuwa na msimamo wake binafsi.
AI haimalizi mjadala. Hivyo hamuwezi kufika muafaka.
Itazunguka zunguka sana hadi mwisho wa siku inahama kwenye mada.
Watu siku hizi hawataki kufikiri sana. Wanarahisisha tu mambo.
Hakuna roho na wala hakuna nafsi.😁 Sifosi hata wewe unajua lazima mwanaume apande mbegu katika tumbo la uzazi la mwanamke ndiyo mtoto azaliwe kuhusu uhai una jua kabisa hata nafsi na roho yako vinahisi viko katika mwili ulio tengenezwa katika tumbo la mama yako 😎
Yanaweza yasitimie pia, yani kwamba binadamu anaondoka kama kuku, mbwa au kitimoto tu na story yake inakuwa imeisha hapo (eternal nothingness).Sahihi ndiyo maana ni ngumu kusibitisha imani ipi ni ya kweli mpaka yatimie
Yoda uko bia ya ngapi? 😹Hapo ndio pale mzee amekadiriwa kimoja tu chali mtu anashangazwa dakika 30 imo tu mtu kasimamia kucha😁
Na maelezo ya AI yanaonekana tu.Imekuwa fashion sasa hivi jukwaani, wewe chunguza nyuzi nyingi ni AI
Ile ladha ya kusoma uwezo wa akili genuine ya mtu haipo tena…!!
Mi nazipita tu saa nyingine naona michosho..