Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,554
- 110,069
Kuku, ng'ombe, Mbwa, Paka na wanyama wengine nao wana nafsi na roho ?😁 Sifosi hata wewe unajua lazima mwanaume apande mbegu katika tumbo la uzazi la mwanamke ndiyo mtoto azaliwe kuhusu uhai una jua kabisa hata nafsi na roho yako vinahisi viko katika mwili ulio tengenezwa katika tumbo la mama yako 😎