Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
Daah Mbu!Mi najaribu kuweka mambo yalingane na vile nataka yawe! Staki kuishi kulingana na mfalme Daudi alivotaka aisee....ndo matokeo yake mmoja kichwa mwingine miguu....Kwa nini wote tusiwe mabawa ya ndege mmoja?Nilijaribusana kutafuta hiyo sehemu kwenye Biblia lakini sijaipataEndelea tu kupekua hiyo Biblia mpaka uichakaze na huo mstari usiuone....kwanza sijanukuu kama nimetoa huko, shauri yako!
Luke 13:34...."Yerusalemu! We Yerusalemu! Unawaua manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako! Mara ngapi nimetaka kuwakusanya watoto wako pamoja kama kuku anavyokusanya vifaranga vyake chini ya mabawa yake, Lakini wewe umekataa"
au?
Reveletion 12:14 "But the two wings of the great eagle were given to the woman, so that she could fly into the wilderness to her place, where she was nourished for a time and times and half a time, from the presence of the serpent."
bht chagua moja bana, usituzingue hapa....maandiko gani hayo yasopatikana?