hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,391
- 80,372
Hahaa..maneno yake sio msahafuWazee wa kula tunda kimasihara wamepigwa pini![emoji23]
Hahaa..maneno yake sio msahafuWazee wa kula tunda kimasihara wamepigwa pini![emoji23]
Mkuu conversation zake zote si naziona yeye na mapenz ni X.Anaweza asifurahie kwako lakini kwa wengine anajiachia kwa sana tu.
Usikariri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo mkuuHivi ni kweli wapo waliokutana umu na wakafunga ndoa kabisa?
Hongera kwao ,sana tu....
Nahs hao watakuwa walikutana kwenye jf ya zamani eh, mana jf ya sasa mabaharia wameivamia haki ukimpata mkaelewana mshukuru Mungu.
Nikiusoma ule uzi wa kula tunda kimasihara, ata siamini amini mabaharia wa umu [emoji3][emoji3]
Hongera Mkuu.Tupo mkuu
Acha tu mkuu, imani yote imekwisha...mana ww waweza kuwa serious lkn mwenzio awaza kukuvua chupi na kusepa bs...ingawa naamini pia wapo waaminifu na wanathamini mwnmke.Unachosema ni kweli haupaswi kuwaamini sana mabaharia wa humu ingawa waaminifu wapo japo kwa uchache.
Obvious napenda sana kumheshimu mwanamke aliyenivulia chupi haijalishi ni Katika Hali gani naamini alifanya maamuzi hayo kwa upendo na uaminifu wake kwangu.So niliposoma Uzi wa kula tunda kimasihara nilishangaa sana kuona jinsi vijana wenzangu wanavyofanya vitendo vya kutia kinyaa na aibu.
Kusema kweli mwanaume anayejitambua hawezi kusimulia matukio Kama hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiziamini conversation za mtu, kuwa nae ndiyo utajua tabia ya mtu nakushauri.Mkuu conversation zake zote si naziona yeye na mapenz ni X.
Hivi nyie mnajuaje jinsia? Maana majina fake na hata picha feki.Short and clear
Kama unataka kutafuta mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa humu JF kitu cha kuangalia ni hiki..
Tafuta member wa kike ambae umewahi kumuona kwenye nyuzi za mapenz akichangia kuhusu mapenz kua anapenda hichi au hichi, na anasupport mwandishi wa uzi kuhusu hali yake positive ya kimahusiano.
Na huwa anakua huru kujieleza hali yake ya kimahusiano.
Lakini usipoona ID yake katika hayo matukio jua kabisa itakua kazi kumpata..
Huwenda hajawa tayar kujihusisha na mahusiano au ako na loss of libido.
WACHANA NAE.
Na kwa mwanaume ambae utamkuta kwenye uzi wa kula tunda kimasihara, wachana nae,
kwa future hakufai kabisa.
Asante ila haikuwa rahisi milima na mabonde tulivuka mpaka lengo likatimia yeye mwenyewe nishahidi nadhani atapita hapa nakuiona hii comment yangu ajazie nyamaHongera Mkuu.
Asante ila haikuwa rahisi milima na mabonde tulivuka mpaka lengo likatimia yeye mwenyewe nishahidi nadhani atapita hapa nakuiona hii comment yangu ajazie nyama
Ni rahis sana mtu kua na Muonekano tofauti tofauti sana wa nje,Mkuu usiziamini conversation za mtu, kuwa nae ndiyo utajua tabia ya mtu nakushauri.
G son, bila shaka kwa huo usmart wako mjukuu wangu ulimpata humu eeh, hujambo lakini!So far unamanisha wale ambao hawapo MMU hawaingiliki?
Mkuu hamna formular. Chamsingi ni kuwa smart tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji11]Afadhali maana kuna mijana umme ina dhani kila mwanmke yupo single ...inazama pm na swaga za kisege tu
Eti mrembo vipi nichek number yangu hii hapa wakati ni vitoto vya shule , bado vinalala seblen vya mwisho kulala vya kwanza kuamka
Unakuta hakujui kabisa unamwambia usinishobokee ovyo ooh sory madamu mm nilikuwa nimekupenda kwa nini usiende kumpenda mama yako
Wanaume mbadilike .....ukiona mwanamke mzuri usidhani anahitaji mwanaume .....kila wakati na sio rahic sasa kupata mwanamke anajielewa kiurahic hivyo
HAKUNA MAHUSIANO YA RAHISI KIASI HICHO BADILIKENI KABISA
Sent using i phone x
Umechelewa baharia wameshaziona [emoji3][emoji3]Dah ngoja nikafute comments zangu kwenye uzi wa kula tunda kimasihara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wa kwenye uzi wa masihara wametumia mafekero tuu!!
Kuwatambua ni ngumu sana!! Lakini mahusiano yanaanza na urafiki kwanza, kwenye huo urafiki ndo utagundua uende hatua nyingine ama ubaki hapo hapo!
Hata jukwaa la dini, twazungumza na mapenz pia,Chemistry zikiendana ,popote mnaweza kukutana bana, si lazima iwe MMU, inaweza kuwa hata jukwaa la dini/imani
Sent using Jamii Forums mobile app