ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,587
- 130,939
Kuna mahali unakwama mdogo wangu, jiongeze. Kama kweli umepewa chance ya kuchat private, means na yeye ana interest japo kidogo.And they say.... ukifanikiwa kumuwin mjanja wako basi things are going to be fine.
Sema dah....
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiongeze kidogo tu na utaona matunda yake, usiogope kuwa rejected kijana wangu.