Kabla hujazama PM chunguza vichache tu

Kabla hujazama PM chunguza vichache tu

We waamini vijana wa kule ni wakweli hawafichi matendo yao na kutoa zile shuhuda maana yake wanakiri dhambi na ktk kujutia zambi ni kuikiri na kuitaja yaani kuitolea shuhuda

Kwahyo mabaharia wa ule Uzi ni waaminifu na hawana dhambi ya unafki hakika ukipata kajamaa kule hakika umeokota dodo [emoji3]

Uzi mzur sana WiFi yako pombe akinikolea kichwan hua naenda kule kupoteza mda
Hongera kwao ,sana tu....

Nahs hao watakuwa walikutana kwenye jf ya zamani eh, mana jf ya sasa mabaharia wameivamia haki ukimpata mkaelewana mshukuru Mungu.

Nikiusoma ule uzi wa kula tunda kimasihara, ata siamini amini mabaharia wa umu [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni neema ya MUNGU kupata ubavu wako humu, ila inawezekana ondoa hofu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We waamini vijana wa kule ni wakweli hawafichi matendo yao na kutoa zile shuhuda maana yake wanakiri dhambi na ktk kujutia zambi ni kuikiri na kuitaja yaani kuitolea shuhuda

Kwahyo mabaharia wa ule Uzi ni waaminifu na hawana dhambi ya unafki hakika ukipata kajamaa kule hakika umeokota dodo [emoji3]

Uzi mzur sana WiFi yako pombe akinikolea kichwan hua naenda kule kupoteza mda

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wa kule simtaki hata mmoja, mana akili zao wote wamezielekeza ktk kula tunda kimasihara
 
We waamini vijana wa kule ni wakweli hawafichi matendo yao na kutoa zile shuhuda maana yake wanakiri dhambi na ktk kujutia zambi ni kuikiri na kuitaja yaani kuitolea shuhuda

Kwahyo mabaharia wa ule Uzi ni waaminifu na hawana dhambi ya unafki hakika ukipata kajamaa kule hakika umeokota dodo [emoji3]

Uzi mzur sana WiFi yako pombe akinikolea kichwan hua naenda kule kupoteza mda

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamjiamini watu wa huo uzi,
Wengi wenu madomo zenge, hamna misimamo kipi nimependa.
 
Short and clear
Kama unataka kutafuta mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa humu JF kitu cha kuangalia ni hiki..
Tafuta member wa kike ambae umewahi kumuona kwenye nyuzi za mapenz akichangia kuhusu mapenz kua anapenda hichi au hichi, na anasupport mwandishi wa uzi kuhusu hali yake positive ya kimahusiano.
Na huwa anakua huru kujieleza hali yake ya kimahusiano.

Lakini usipoona ID yake katika hayo matukio jua kabisa itakua kazi kumpata..
Huwenda hajawa tayar kujihusisha na mahusiano au ako na loss of libido.
WACHANA NAE.

Na kwa mwanaume ambae utamkuta kwenye uzi wa kula tunda kimasihara, wachana nae,
kwa future hakufai kabisa.
Kwani Zero IQ yeye anasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungejua jinsi vile nautamani niwe nao... maana kuna mtu tunachart tuu nashindwa kuwa smart kujiongeza.

I think you can teach me. G mom

Sent using Jamii Forums mobile app
G son nakuonaga very smart, huwa unakwama wapi hadi muishie kupiga stories tuu, kweli kila mtu ana mjanja wake[emoji3][emoji3], jikaze son niletee mkwe huyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom