Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,256
Ila hana chura.Mimi nilimpata @Khantwe![emoji41][emoji41][emoji41]
Ila hana chura.Mimi nilimpata @Khantwe![emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji125][emoji125][emoji125]Ila hana chura.
Kuna mmoja alinitafuta PM, akaniuliza kitu nikamjibu.
Shida inakuja nilifuta hizo conversation, na mm kustart conversation nae tena siwezi kwasababu katia kufuli,
Labda aanze yeye kuni PM tena.
Ila nilipo mdodosa nikaona na yeye wale wale waliopungukiwa nguvu za kike,
Sisi tuwe wa kwanza.Hivi ni kweli wapo waliokutana umu na wakafunga ndoa kabisa?
Sawa tuanze sie, afu tulete mrejesho uku kwa wana jf [emoji3][emoji3]
So far unamanisha wale ambao hawapo MMU hawaingiliki?
Mkuu hamna formular. Chamsingi ni kuwa smart tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipo dodosa kote ngoma droo.
My fact was..
Limtokalo mtu kinywan mwake, ndio liujazao moyo wake
sasa mkuu mbona hapa unatuchongea hata sisi ambao tupo kule lakin hatuja toa ushuhuda wa matukio.Tupo tu na comments za kawaida.Na kwa mwanaume ambae utamkuta kwenye uzi wa kula tunda kimasihara, wachana nae,
kwa future hakufai kabisa.
Wapo wengi sana , Sema siyo wachangiaji humu. Mimi binafsi nawajua wengi na baadhi yao ni marafiki zangu wa karibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna watu wanajifanya hawana makucha kwenye MMU, lkn hao ni hatari sana.
Hivi ni kweli wapo waliokutana umu na wakafunga ndoa kabisa?
Kuaminiana ndiyo ishu, japo inawezekana ila ni asimia ndgo sana yani kama 1.2349%
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni pale ambapo mmoja anachukulia utani wakat mwenzake anamaanishaSawa tuanze sie, afu tulete mrejesho uku kwa wana jf [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3] unahisi natania?Tatizo ni pale ambapo mmoja anachukulia utani wakat mwenzake anamaanisha
Hongera kwao kwa kweli
Lkn si umeona apo watu na shuhuda zao wamethibitisha?, fanya kweli tuu [emoji16]Kuna wakati huwa natamani mke wangu atokee mitaa ya JF, ila wakati mwingine najiuliza "kweli humu wamo au yule ninayemuwazia ni mwanaume mwenye ID ya kike"?
Anyway, litakalotokea na liwe
Sent using Jamii Forums mobile app