Kabla hujazama PM chunguza vichache tu

Kabla hujazama PM chunguza vichache tu

Umeharibu hapo mwisho tu kwamba wenyeji kwenye ule uzi hawafai amaa??


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Short and clear
Kama unataka kutafuta mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa humu JF kitu cha kuangalia ni hiki..
Tafuta member wa kike ambae umewahi kumuona kwenye nyuzi za mapenz akichangia kuhusu mapenz kua anapenda hichi au hichi, na anasupport mwandishi wa uzi kuhusu hali yake positive ya kimahusiano.
Na huwa anakua huru kujieleza hali yake ya kimahusiano.

Lakini usipoona ID yake katika hayo matukio jua kabisa itakua kazi kumpata..
Huwenda hajawa tayar kujihusisha na mahusiano au ako na loss of libido.
WACHANA NAE.

Na kwa mwanaume ambae utamkuta kwenye uzi wa kula tunda kimasihara, wachana nae,
kwa future hakufai kabisa.
man
You are so scared of failures
 
Afadhali maana kuna mijana umme ina dhani kila mwanmke yupo single ...inazama pm na swaga za kisege tu

Eti mrembo vipi nichek number yangu hii hapa wakati ni vitoto vya shule , bado vinalala seblen vya mwisho kulala vya kwanza kuamka

Unakuta hakujui kabisa unamwambia usinishobokee ovyo ooh sory madamu mm nilikuwa nimekupenda kwa nini usiende kumpenda mama yako

Wanaume mbadilike .....ukiona mwanamke mzuri usidhani anahitaji mwanaume .....kila wakati na sio rahic sasa kupata mwanamke anajielewa kiurahic hivyo

HAKUNA MAHUSIANO YA RAHISI KIASI HICHO BADILIKENI KABISA

Sent using i phone x
Povu la nini au umeshaliwa kimasihara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hapo kwenye aya ya Mwisho nimecheka sana.. Huo sawa ni uchochezi sumbai
 
As if dunia yoootee ni MMU na MMU ni dunia yote😀😀😀
Ila sijashangaa sana ni mtazamo na hapo ndipo changamoto za kijamii huanzia, tofauti ya mitazamo🤗🤗
Na usisahau kuna viumbe controrvesial hatari hukuaminisha Z huku uhalisia wake ni A.
Tell e'm
 
Back
Top Bottom