Nandinii
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 2,572
- 2,829
Mmh sina uhakika, mana mara nyng kuna watu tabia zao huwa ni za chini chini kbs
Ni rahis sana mtu kua na Muonekano tofauti tofauti sana wa nje,
Lakini uhalisia wa mtu alivo siku zote hupimwa kwa kauli zake za kila siku.
Akiwa serious au jokes utajua tu.