Kuaminiana ndiyo ishu, japo inawezekana ila ni asimia ndgo sana yani kama 1.2349%Eti eeeh?, tatizo linakuwa nini?, au ndo mapenz yanakuwaga siyo ya kweli.
Hebu hukooMuhimu; usitongoze bila kuonana nae ana kwa ana.
Usije sema hukuambiwa[emoji124][emoji124]
Aiseeeid yangu imedukuliwa babe[emoji3][emoji3]
Mkimaliza naomba umwambie aje nyumbani kula mdogo wangu mzuri mzuri!Babe umesema!!? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha usijali dada, ngoja nimtimue aje mara mojaMkimaliza naomba umwambie aje nyumbani kula mdogo wangu mzuri mzuri!
Unauonaje lakini huo mwongozo?
Huo muongozo ni mzuri sana, hata mimi nikiona mtu anazunguka pm narudi kumsearch kwanzaUnauonaje lakini huo mwongozo?
Sawa mdogo wangu
Wapo wengi sana , Sema siyo wachangiaji humu. Mimi binafsi nawajua wengi na baadhi yao ni marafiki zangu wa karibu.Hivi ni kweli wapo waliokutana umu na wakafunga ndoa kabisa?
Wivu sina hataAcha wivu kama hujawah kula kimasihara ukiwa kijana basi hesabu hupati acha wivu na ule uzi mkuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali maana kuna mijana umme ina dhani kila mwanmke yupo single ...inazama pm na swaga za kisege tu
Eti mrembo vipi nichek number yangu hii hapa wakati ni vitoto vya shule , bado vinalala seblen vya mwisho kulala vya kwanza kuamka
Unakuta hakujui kabisa unamwambia usinishobokee ovyo ooh sory madamu mm nilikuwa nimekupenda kwa nini usiende kumpenda mama yako
Wanaume mbadilike .....ukiona mwanamke mzuri usidhani anahitaji mwanaume .....kila wakati na sio rahic sasa kupata mwanamke anajielewa kiurahic hivyo
HAKUNA MAHUSIANO YA RAHISI KIASI HICHO BADILIKENI KABISA
Sent using i phone x
[emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiri comment yako ili nijue kama nije PM au la.
Mimi nilimpata @Khantwe![emoji41][emoji41][emoji41]Wewe ulishampata nani kupitia hii njia?