Kabila la wanyakyusa

Kabila la wanyakyusa

Twe bhanyafyale twe tulibhandu fijho uswe....mwe bhajanga amumyeke twe bhenekajha twisile
 
Ungandisyaga khangi!! Luswango lwa nyoko mpapa ghuso. Sisi ni watu safi bwana,karibu mbeya.
 
Habari zenu, ndugu zangu..napenda kuuliza au kujua kwanini hili kabila la wenzetu wanapenda kuzungumza kinyakyusa sana hata kwenye mikusanyiko ya watu kwa nini wasipende kuzoea kuzungumza KISWAHILI..kwa kweli wananichukiza sana kwa hilo!

Wewe kabila gani kaka?
Mkataa kwao mtumwa......
 
Kesho tutaongea kuhusu wahindi wa kutumia lugha za kihindi, wawapo katika mazingira ya kazi.
Watoto wa wanyakyusa waliohamia Zambia baadhi huwa wanaweza kuzungumza kinyakyusa na sio Kiswahili. Nadhani ni watu kupenda asili zao.
 
kukaja kununu mwe ughwa bhufi atwandile uti akabhapangile
 
Habari zenu, ndugu zangu..napenda kuuliza au kujua kwanini hili kabila la wenzetu wanapenda kuzungumza kinyakyusa sana hata kwenye mikusanyiko ya watu kwa nini wasipende kuzoea kuzungumza KISWAHILI..kwa kweli wananichukiza sana kwa hilo!

mkataa kwao ni mtumwa
 
Back
Top Bottom