Kabila la wanyakyusa

Kabila la wanyakyusa

Ni nyinyi waswahili tu mnapenda kuongea kiswahili mkiwa huko kama Wanyaki tunavyopenda kuongea kikwetu hata mahakamani.

na mkimsindikiza mgeni basi mtatoka ukoo mzima
ukawaponye bhosa
 
Undugu wa wapare ni noumaaa avaee... lol yani kamba yao haiungagi chaaaa.
 
uswe tulibhanyambala kangi tusikutila nafimo, uju abhakile amasimbo agha muno sigwana fiki akalalege uswe ukujobha ikyakukaja?
 
Habari zenu, ndugu zangu..napenda kuuliza au kujua kwanini hili kabila la wenzetu wanapenda kuzungumza kinyakyusa sana hata kwenye mikusanyiko ya watu kwa nini wasipende kuzoea kuzungumza KISWAHILI..kwa kweli wananichukiza sana kwa hilo!
Pole sana ndugu yangu...
 
mwakibete;Weka picha

Uju gwa mmabonde,kwa Mullanga,Mwaipape,Mwamosojo mwana gwa Johan unkomela kwimoso
 
Ngaja nyakyusa ei mma, loli namanyile injobhelo iji bhu natumigwe na mwalimu umbuka (jkn) ukuti ngasilondesye isya bhanyafyle bha kinyakusa; bha korosa, mwakalukwa, mwakyembe.

Nendilemo fijo mwa Tenende, Ipinda, Mmwaja Ndughombo (lugombo), mMababu, mwa Itunge, Ipande, m'Bujonde, mu Ngamanga, mu Ngonga...mungumbwisye ibhinda ne halale sya kokya, ingolokolo, imbasa...

Mungumbwisye ikinyakyusa n'ubhololo, n'ubhupe, n'ulugano lwenu...abha bhikubatuka bhakabhamanya, mubhahokelege itolo...mtingabhatukaga ka mutikile fijo muno, nsekile fijo ilyakuti "amatanga gasendemele pasi"

Ndingabhakatasya...mughone ndaga
 
Bha gwetu une nde gwa kyela,mwikama,tokurya umpunga ne ngumba.
 
Kule Malawi kuna kabila linaitwa ngonde,lugha yao inashabiana na kinyakyusa kwa asilimia 100,hata wandali lugha yao inafanana na kinyaki kwa 95%,nao pia wanapatikana malawi,sisi wanyaki wa kyela baadhi tunaonge lugha za malawi
 
Habari zenu, ndugu zangu..napenda kuuliza au kujua kwanini hili kabila la wenzetu wanapenda kuzungumza kinyakyusa sana hata kwenye mikusanyiko ya watu kwa nini wasipende kuzoea kuzungumza KISWAHILI..kwa kweli wananichukiza sana kwa hilo!
hilo nalo neno wamezidi ,karibia makabila yote ya mbeya yanatabia hiyo iwe wanyiha,wasafwa,wandali n.k dawa yao kuwatoza fine 50,000 kama watu wanaotupa uchafu ovyo barabarani
 
Wanyaki wote hoyeee...sisi ni watu ungwee...warefu,vifua vya mapenz kwa wanaume tunavyo,wanawake wakarimu na wachapa kazi hoyeeee.....na zaidi tumeenda shule sio kama wazalamo
 
Back
Top Bottom