Kabila la wanyakyusa

Kabila la wanyakyusa

Kama wanakitwanga wao kwa wao sioni tatizo, na mimi naona ni vizuri nikachapa story kwa lugha ya kwetu kama niko na poti. Kuna utamu ktk lugha yako ya asili wewe. Kuna Padri moja kule Ikonda Hospital alikuwa anachapa Kikinga hadi raha, na ikasababisha Wagonjwa kumpenda sababu walikuwa wanaweza kumpa maelezo ya kuumwa kwao kwa lugha yao ya asili.

Ipende lugha yako mkuu, mbona akina pua ndefu wanapotema yai barabarani huku kwetu mbona hulalamiki?

Aahaha,,....ndeeeti ?
haya bwana mzee wa Bulongwa......
 
Habari zenu, ndugu zangu..napenda kuuliza au kujua kwanini hili kabila la wenzetu wanapenda kuzungumza kinyakyusa sana hata kwenye mikusanyiko ya watu kwa nini wasipende kuzoea kuzungumza KISWAHILI..kwa kweli wananichukiza sana kwa hilo!

Linga ukalele mbombo syako,ikinyakyusa OYEE,kumyitu ku Mbeya.
 
Mnyakyusa hata angekaa ULAYA miaka 50 hawezi acha kuongea kinyakyusa na haachi utamaduni wa kwao kamwe. Bibi yangu anaishi Dar esalaam Magomeni toka miaka ya 60's lakini hadi sasa hajui kiswahili na haongei kiswahili zaidi sasa majirani inawabidi wajifunze kinyakyusa kupitia kwake. Wengi tumejua kinyakyusa kupitia kwake. Hivyo Tuuenzi utamaduni wetu
 
Back
Top Bottom