Ingamu jhako mbiibhi fijho! "Mwimila fyala"?
Hahahaaaa
Ingamu jhako mbiibhi fijho! "Mwimila fyala"?
Atikusyaghania nasimo!
Anooooga mweneee
Mweeee kaangi nsyukilwe kukaaja. Pakyaka ngunyonywa pakuubhuka ntukuju ngamoghe ikyaka na bhakamu bhaangu. Atukujobha siku ikinyakyusa. Katika vitu ambavyo ninajivunia kimojawapo ni kuwa mnyakyusa....!
kila kabila linapenda kuzungumzia,ila wanyakyusa wanawake watamu balaa
ongezea na wanyakyusa alafu kuna kikabila flani nacho ukiwakuta hata wawili tu nyie mpo kumi wao ni kirangi tu sijui makabila mengine yamelaaniwaWahaya, wasukuma?
kinyakyusa kinunu mwe,jwani akimenye tujobhepo panande.
kwa taarifa yako umeufanya Uzi huu utawaliwe na wanyakyusa, MWe bhakukaja isaga tujobhege ikyakukaja mungampilikaga unkonyofu uju, seee! ne gwa nkilasilo kwa kyela ngukinda apa
Ukabila, undugunaizesheni na kupigiana mapande ndo zao.
Huku malawi wamekufanya kama kwao, yaani kinyaki kimekuwa ndo lugha yao ya mawasiliano badala ya kiswahili
Ingamu jhako mbiibhi fijho! "Mwimila fyala"?
mutwandie kangi? Mutuleke!
Hivi Malawi lugha ya mawasiliano ni kiswahili?
sana tu
Ni nyinyi waswahili tu mnapenda kuongea kiswahili mkiwa huko kama Wanyaki tunavyopenda kuongea kikwetu hata mahakamani.
wasukuma wanapenda kweli kuunga undugu lakini wao hawauendekezi ukabila,mi nawakubali saana wasukumaHapana asee,kuna wapare hao ni balaa...na wanapenda kuunga undugu hao hata kama hawajuan,mradi wanatoka hapo upareni wote basi watakianzisha hapo hadi inakuwa kero....wanafuata wasukuma na wahaya....
Kwani ndo mmefunguliwa uzi?? Mi najua hii tu: enguma ya nyakyusa is tamu.