Kabila la wanyakyusa

Kabila la wanyakyusa

Ne gwa kulisu ipimba une kwa mpuna mweeeee!
Mughonile bhakamu bhangu..
 
Kangi kunoaliko ndosi munda unne ndikuleka pakujobha
 
Loli likonyofu ilindu ili mwee hui!!! Kangi bhatuleke bho tukeilekesya ni kya kukajha, ligha bhakakimanya ikya kumyabho bhitulike nkijhijha!!!
 
Mnyakyusa hata angekaa ULAYA miaka 50 hawezi acha kuongea kinyakyusa na haachi utamaduni wa kwao kamwe. Bibi yangu anaishi Dar esalaam Magomeni toka miaka ya 60's lakini hadi sasa hajui kiswahili na haongei kiswahili zaidi sasa majirani inawabidi wajifunze kinyakyusa kupitia kwake. Wengi tumejua kinyakyusa kupitia kwake. Hivyo Tuuenzi utamaduni wetu

Sisi sio watumwa...tunapenda sana lugha yetu...big up bibi angumulila ni soda
 
Back
Top Bottom