msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 771
- 643
Habari zenu, ndugu zangu..napenda kuuliza au kujua kwanini hili kabila la wenzetu wanapenda kuzungumza kinyakyusa sana hata kwenye mikusanyiko ya watu kwa nini wasipende kuzoea kuzungumza KISWAHILI..kwa kweli wananichukiza sana kwa hilo!