Kabila la wanyakyusa

Kabila la wanyakyusa

Ulinkafu malafyale au khana Kyusa? Bhagonile kumisoni? Linga umenye Ikinyakyusa mma po tujobege itolo nu kwitufyanga inkisu iki!
Simbila Inkinyakyusa ikhalata: cskapala@gmail.com
 
Wanyaki wote hoyeee...sisi ni watu ungwee...warefu,vifua vya mapenz kwa wanaume tunavyo,wanawake wakarimu na wachapa kazi hoyeeee.....na zaidi tumeenda shule sio kama wazalamo

Hasa hapa wazaramo wanaingiaje? Sifa za kijinga
 
Hakuna raha kama kuongea lugha yako nafurahi sana nikiona watu wanaongea lugha yao hiyo imenishawishi nijifunze lugha nne ambazo watu huwa wanashangaa nikiziongea yaani acha tu
 
Waacheni jamaa wapige lugha yao....Jamaa mmoja alikuwa anatania enzi zile Bima ya kina Mwaikambo na Kasamala, unakuta tangazo linasema NO VACANCY....Hakuna kazi....Imbombo ilipo.

Kaazi kweli kweli
 
Kwani nawewe si uongee kikwenu!!!! Tatizo nini hapao?
Habari zenu, ndugu zangu..napenda kuuliza au kujua kwanini hili kabila la wenzetu wanapenda kuzungumza kinyakyusa sana hata kwenye mikusanyiko ya watu kwa nini wasipende kuzoea kuzungumza KISWAHILI..kwa kweli wananichukiza sana kwa hilo!
 
Mma namutujobheghe itolo,lugh yetu tunaipenda,hata nilipokuwa chuo kinyakyusa kilikuwa mtindo mmoja.muwe na amani jamani sisi ni mazalendo wa kabila letu.
 
Wewe wa ajabu kweli,ungejua ninavyotamani kujua kinyagatwa,kingindo,kimatumbi,kindengereko!waache wajinyakyuse as long as hawaongei nawewe!
 
Back
Top Bottom