you dont sound like a tanzanian....maswali ayo ya ukabla sie hua hatuulizani...ila huwezi kua kwa facebook kama hujui kutumia internet na ikiwa huna access na internet na zaidi ikiwa hauna interest na facebooking meeen....watu hawaingii kwa facebook kwa sababu ni wa kabila fulani....na zaidi kabila sio kigezo cha kua ndani ya facebook na ndio maana wakati unafungua io account ya facebook, hakuna sehemu unajaza kabila lako meeen!! ila nafikiri swali lako litaendana na statistics za wsomi tanzania....maana waliosoma (wasomi) ndio zaidi wana access na internet...ivo itaendana na makabila ambayo yanaongoza kwa kua na wasomi zaidi hapa nchi.....kama sio wahaya, nia wachagga au wanyakyusa....UKITAKA KUBSHA NA UBISHEEEE