Kabila gani, watu wake wanaongoza kuwa Facebook!?

Kabila gani, watu wake wanaongoza kuwa Facebook!?

Vionex Solutions

Senior Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
142
Reaction score
20
Baada ya kufanya karesearch kangu kadogo bado cjapata uhakika kamili kuwa kabila gan linaongoza kuwa Facebook,
naomba niskie maoni yako!
 
research ya kupotezeana mda tuu..ndo umekaa ukafikiria ivooo
 
yani karne hii bado unazungumzia ukabila,acha hizo wewe.
 
Ukabila, ukabila, ukabila, ukabila ukabila huooooo unaisogelea TZ. Hatariiiiiiiiiiiii. Pat Gucci akili zake ziko katika PUMBU.
 
Bahati mbaya sana katika profile hakuna sehemu ya kujaza kabila kule facebook, kwa hiyo itakuwa ngumu kwa sisi wa jf kukujibu. Njia rahisi ni wewe kuwauliza marafiki zako na marafiki wa rafiki zako ni kabila gani, hapo utafanikiwa!
 
Back
Top Bottom