Gepard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2021
- 291
- 385
Huku tupo wameru na wamaasai erowLafudhi ya Chuga chugani
Huku tupo wameru na wamaasai erowLafudhi ya Chuga chugani
No way..Waha
Mfano ni jinsi anavoongea baba levo
Kuna mkurya baada ya kunusurika kwenye ajali ya basi akawa anawasimulia rafiki zake "Mora ire ajari ilinivanya nikawabhikiri bhatoto bhangu , nikambhiri na mama yao".Wakurya Bwana!!Sasa umkute anasema Tumefiwa,atasema Tumefir..wa
Tanga yote except Wasambaa.Nimeanza kea kuuliza swali kwa maana namaanisha wakati wa kuongea Kiswahili kila mtu anarafudhi yake. Kwa mfano mwingine huongea Kiswahili kwa lafudhi ya Kichaga hadi unajua 'huyu ni mchaga', unajua kwa sababu ya lafudhi yake lakini kuna mwingine akiongea Kiswahili ile lafudhi yake inakuwa ni ya kuvutia sana kiasi kwamba unapenda aendelee kuongea tu, swali langu ni KABILA GANI ambalo wewe ndugu msomaji unapenda rafudhi yake?
Wadigo ndy wana lafudhi nzr sn ya kiswahili...Tanga yote except Wasambaa.
Sawa mkuu, nimekusoma!Wadigo ndy wana lafudhi nzr sn ya kiswahili...
Wabondei
Wasambaa.
Waziguwa
Wote lafidhi mbovu...
Hawa ndiyo nadhani mojawapo ya makabila yanayochangia kuharibu kiswahili mf maneno ya siku hizi: Mimi sipendi masihara-Mimi SIPENDAGI masihara.Wasukuma wana lafudhi nzuri sana na tone nzuri. Tone ya matumaini!
wachaggaNimeanza kea kuuliza swali kwa maana namaanisha wakati wa kuongea Kiswahili kila mtu anarafudhi yake. Kwa mfano mwingine huongea Kiswahili kwa lafudhi ya Kichaga hadi unajua 'huyu ni mchaga', unajua kwa sababu ya lafudhi yake lakini kuna mwingine akiongea Kiswahili ile lafudhi yake inakuwa ni ya kuvutia sana kiasi kwamba unapenda aendelee kuongea tu, swali langu ni KABILA GANI ambalo wewe ndugu msomaji unapenda rafudhi yake?
wanyamwanga unazinguaWanyamwanga
kweli mkuu wanalafudhi nzuri sanawanyamwanga unazingua
Astaghifirullah!Wasukuma wana lafudhi nzuri sana na tone nzuri. Tone ya matumaini!
Duuh!! Bro Relief Mirzska naona mpaka sasa watu wa kule vyeru, Mtimbwani, Duga, Mayomboni na kwengineko wanashikilia usukani.
Wadigo nambari moja hawana mpinzani!
Kabila la walafuzi ndo Wana lafudhi nzuriNimeanza kea kuuliza swali kwa maana namaanisha wakati wa kuongea Kiswahili kila mtu anarafudhi yake. Kwa mfano mwingine huongea Kiswahili kwa lafudhi ya Kichaga hadi unajua 'huyu ni mchaga', unajua kwa sababu ya lafudhi yake lakini kuna mwingine akiongea Kiswahili ile lafudhi yake inakuwa ni ya kuvutia sana kiasi kwamba unapenda aendelee kuongea tu, swali langu ni KABILA GANI ambalo wewe ndugu msomaji unapenda rafudhi yake?