Kabila gani lina lafudhi nzuri ya Kiswahili Tanzania?

Nimeanza kea kuuliza swali kwa maana namaanisha wakati wa kuongea Kiswahili kila mtu anarafudhi yake. Kwa mfano mwingine huongea Kiswahili kwa lafudhi ya Kichaga hadi unajua 'huyu ni mchaga', unajua kwa sababu ya lafudhi yake lakini kuna mwingine akiongea Kiswahili ile lafudhi yake inakuwa ni ya kuvutia sana kiasi kwamba unapenda aendelee kuongea tu, swali langu ni KABILA GANI ambalo wewe ndugu msomaji unapenda rafudhi yake?
Nafkri Wasukuma mkuu
 
Dah! Kama ulikuwepo nimetoka jana huko kwa wadigo gari imetoka stendi ya zamani pale hadi chongoleani wale wamama wanapiga stori zao mm naenjoy tu ile lafudhi yao taaaaamu hakuna km wadigo na baadhi ya makabila ya pwani si yote, sisi wengine wa bara lafudhi zetu zinakera masikioni hatujui matamshi matokeo yake kila mmoja anamuona mwenzie mshamba!
Ukienda Kenya, hata uwe Mbena, Mruguru, mmakonde n.k. ukiongea utasifiwa kuwa unaongea Kiswahili sanifu na lafudhi yenye mvuto.
 
Wasukuma wana lafudhi nzuri sana na tone nzuri. Tone ya matumaini!
Wasukuma Wana Rafidhi nzuri sana.
Wasukuma ni kabila lenye lafudhi mbaya ya kuzungumza Kiswahili.
Hahaha, wasukuma tena!
Hawa wasukuma ni wale tu ambao walizaliwa na kukulia mjini na walianza kuongea Kiswahili kama lugha mama, yaani kama lugha ya kwanza. Hawa unakuta ni wale ambao hawajui kabisa kuongea Kisukuma, au kama wanajua kuongea basi walijifunza ukubwani wakiwa tayari wanajua Kiswahili kama lugha yao ya kwanza. Hata hivyo, hongera zao
 
Nimeanza kea kuuliza swali kwa maana namaanisha wakati wa kuongea Kiswahili kila mtu anarafudhi yake. Kwa mfano mwingine huongea Kiswahili kwa lafudhi ya Kichaga hadi unajua 'huyu ni mchaga', unajua kwa sababu ya lafudhi yake lakini kuna mwingine akiongea Kiswahili ile lafudhi yake inakuwa ni ya kuvutia sana kiasi kwamba unapenda aendelee kuongea tu, swali langu ni KABILA GANI ambalo wewe ndugu msomaji unapenda rafudhi yake?
Mtoa kama kitu hukifahamu ni busara kuuliza maana kwa namna ulivyolitumia hilo neno "lafudhi" ni dhahiri hukua na uhakika juu ya utamkaji au uandishi wake mara "r" mara "l".
Tukirudi katika mada ukanda wa Pwani kwa kiasi kikubwa ndio wenye lafudhi bora zaidi kwa maana asilimia kubwa zaidi ndio lugha mama yao. Note; nimesema kwa kiasi kikubwa sio wote
 
Nop

Sijaishi huko...sina lafudhi ya kisukuma ...yes nawapenda wanajituma sana ..hawabagui kazi
So does we..!
Sawa wazee wa suruali za shifoni
FB_IMG_16119401524567919.jpg
 
Back
Top Bottom