Kabila gani lina lafudhi nzuri ya Kiswahili Tanzania?

Wadigo wa kike hatari sana shikomoni wote wana wake wa kidigo, sio mjini au kijijini wote wapo vizuri,nitaludi tena siku nyingine.
Daah sijawahi fika tanga mjini aisee, iltabidi nifanye mpango niende niakaenjoy kidogo na hizo lafudhi
 
Makabila mengi ya kimwambao ndio yanachukuliwa kama wanao ongea kiswahili fasaha
Wazaramo
Wadigo
Wazanzibar nk

Binafsi naona watu wa Morogoro wanaongea kiswahili kimenyooka

napenda lafudhi ya watu wa Tanga haswa wadigo

Na siipendi kweli lafudhi ya kishwahili cha wahaya
 
Back
Top Bottom