K

K

[h=6]Hivi wakuu mnafahamu kwamba vitu vingi vitamu vinaanzia na herfi K? mfano Kitimoto, kitumbuwa, kababu, kashata, karimati,............[/h]Unaweza kuongeza orodha mdau.
 
Kimembe,kuku, na .......uma ....Kukum
du hapa naona unampango wa kutusababishia ban
 
wote mnagusa gusa lakini ipo yenyewe naona kila mtu anaikwepa japo ukweli anaujua,hebu kuweni great thinker wa ukweli bana alaa!
 
Back
Top Bottom