hivi unajua majina ya vitu vingi vitamu huanzia na k.kitumbua,,kuku,kababu, hebu kitaje hiko kingine unachokifikiria
hivi unajua majina ya vitu vingi vitamu huanzia na k.kitumbua,,kuku,kababu, hebu kitaje hiko kingine unachokifikiria
Nilipoona to K nikajua hii topic itazaa matusi humu, bora ihame...
katerero
wote mnagusa gusa lakini ipo yenyewe naona kila mtu anaikwepa japo ukweli anaujua,hebu kuweni great thinker wa ukweli bana alaa!
kigoma,Kilimanjaro,Kiwira, Kituo,kenge, kunguru, koleo,kurasa
klorokwini, kwinini, kifo
kinachokuwa between two legs.