K Basil sasa ni askofu chini ya kanisa la Gwajima

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,672
Reaction score
3,737
Ni askofu akihudumia mkoa wa Arusha

IMG_9054.jpeg
 
Attachments

  • IMG_9053.jpeg
    IMG_9053.jpeg
    228.5 KB · Views: 18
  • IMG_9052.jpeg
    IMG_9052.jpeg
    352.9 KB · Views: 18
Aiseeeeeee... kweli ndio maana sitokaa nihame kanisa Takatifu Katoliki... ili uwe walau padre tu unahitaji degree mbili... haya makanisa ya kikanjanja yanaokota watu mtaani kesho wamekuwa maaskofu... dah...
 
Kumjua Mungu hatusomei Bali tunafunuliwa, hao unaowasema Wana degree mbili ndio wanaoongoza kwa vitendo vya ulevi uzinzi na kulawiti watoto
 
Aiseeeeeee... kweli ndio maana sitokaa nihame kanisa Takatifu Katoliki... ili uwe walau padre tu unahitaji degree mbili... haya makanisa ya kikanjanja yanaokota watu mtaani kesho wamekuwa maaskofu... dah...
hoja yako haina mashiko huo ni mfumo wa na taratibu zoo waroma wamejiwekea , ila kwa mungu na maswala ya kiroho haimaanishi mwenye degree mbili ndio yupo vizor kiroho au kiongozi mzuri wa kiroho
 
Architect wa kusomea au kujiita tu? Wa kusoma hawezi kuwa mpuuzi wa kiwango hiki. Unajua vizuri historia ya Basil na ameingiaje huko? Au hisia tu kwa sababu amekuwa mwanamuziki?
 
Mbona huyo ana degree ya udsm, acha dharau za kitoto
hoja yako haina mashiko huo ni mfumo wa na taratibu zoo waroma wamejiwekea , ila kwa mungu na maswala ya kiroho haimaanishi mwenye degree mbili ndio yupo vizor kiroho au kiongozi mzuri wa kiroho
Kwamba elimu stahiki ya teolojia si muhimu tena? Kwamba kiingereza si intelligence bali ni medium of expression tu?
 
Back
Top Bottom