Aiseeeeeee... kweli ndio maana sitokaa nihame kanisa Takatifu Katoliki... ili uwe walau padre tu unahitaji degree mbili... haya makanisa ya kikanjanja yanaokota watu mtaani kesho wamekuwa maaskofu... dah...
Mungu humuita yeyote kutumika shambani kwake ,onavyo Mungu juu ya watu wake ni tofauti na tunavyo ona sisi wanadamu.Ipo mifano mingi katika biblia ,mfano Daudi alikuwa mchunga kondoo,mtume petro alikuwa mvuvi wa samaki Mungu akamfanya mvuvi wa watu.
TUKIJA kwa hao mapadri wako wa KATOLIKI wenye madigrii unaowasema sio wote waishi katika misingi na viapo..Kuna yule wa kagera aliua albino,kuna wenye kuzaa na wanawake,wapo washirikina,wapo mafisadi,wapo wanao wazinzi,wabakaji,walawiti,walevi,wachawi ,wauwaji ,wanasiasa,mafisadi,wezi wa mali n.k
KIFUPI :MUNGU ANAWEZA KUMTUMIA MTU YEYOTE KUFANYA KAZI YAKE,na mara nyingi kama umefuatilia Mungu hutumua watu ambao hawakupewa kipaumbele au waliodharaulika au wasiotarajiwa au walio onekana hawafai WANASTAHILISHWA wale WALIODHARAULIKA bila kujali hali yake.Mifano ipo mingi kama WAKOMA (kishindo cha wakoma,Daudi against goliath,hata Yesu alikuja low profile na alizaliwa zizini mwa ngombe,hata sasa watumishi wa Mungu wapo ambao ni low profile lakini wana tumika na nguvu ya Mungu...kwa viwango vikubwa kuliko hao high profile mitume na manabii maarufu au wachungaji na maaskofu maarufu.
HALAFU KIVYOVYOTE VILE HAIFAI KUMDHARAU MWANADAMU MWENZAKO kwa sababu yeyote ile, elimu ya degree hizi za kukariri..hazikifanyi uwe bora kulliko wengine..
kuna watu hawajapata fursa ya kusoma elimmu za darasani ila magenious mfano kijana wa Zambia aliyegundua gari linalotumia mawimbi ya radio ameishia fomu two,na wengi waliofanya mambo makubwa na ugunduzi mwingi wa kisayasnsi hawakusoma hata wafanyabiashara wakubwa na mabilionea.