The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,131
- 14,636
itakuwa upadre wa kanisa la orthodox,mimi nimesoma consolata seminary hakuna mtu aliekuwa na chuni ya divission 1 ambae amewahi kuwa padre na kwanza kule unakuta darasa div 1 ziko 40 div 2 ziko 4 na three 1 full stop na bado wanachukua watatu bora tuuKuna jamaa tumesoma naye Olevel alipata div 4,lakin miaka miwili baadae alinipigia simu akanambia yuko kusomea upadree.