Mm sijui sana mambo ya dini ila baada ya kusoma comments zote naomba nitoe hukumu juu ya hili.
Baada ya kusikiliza pande zote za walokole (kwenye kesi hii washitakuwa )na kusikiliza hoja za wakatoliki na madhehebu kongwe ya kikristo ikiwemo wasio WAKRISTO mfano waislamu(washitaki )
Mahakama yangu ili kufikia maamuzi imepitia hoja zifuatazo na kuzidadavua kabla ya kuhukumu.
1.shaka juu ya historia ya mwenendo wa Askofu Basil
TAFAKURI
Mahakama ilitupilia mbali hili kwani ukuaji kiroho hauhusiani na historia wala kuzuiwa na ,msambazaji mkuu wa ukristo mtume paulo aliwahi kuwa muuaji wa wakristo ,papa fransis aliwahi kuwa baunsa wa club za kujiuza .watu washenzi kabisa ndio walioslimu na kueneza vyema uislamu
2.Shaka juu ya elimu ya kidini na kidunia ya Askofu Basil
TAFAKURI
Mahakama ilijiridhisha bila shaka kuwa mshukiwa ni msomi wa kiasi cha degree na muumini wa muda mrefu muaminifu wa Kanisa la ufufuo na uzima .
Aidha pamoja na ukweli kuwa viongozi wa kwanza wa kiroho kama yesu nq mitume wake walikuwa wengi wahuni na watu wasiofaa kwenye jamii mfano petro alikuwa mvuvi mshirikina ,muhamadi alikuwa mtoto wa mjini na marioo wa hadija .
Mahakama imechagua kuheshimu taratibu za kila dini .Tuhuma za ulawiti ,ulevi na uzinzi za viongozi wa kanisa katoliki mahakama ilizikuta pia kwa mashehe huko madrasa kwa kiwango kilekile .aidha tuhuma za kuzaa na frola mbasha za Askofu gwajima ,tuhuma za ulevi za mzee wa upako ,tuhuma za askofu efata kuzaa na mke wa mtu zilikutwa kwa usawa kila aina ya dini.
Mahakama yangu kwa karipio kali inazitaka pande zote kutopuuza elimu ya dini na dunia kwa viongozi wao hususan katika changamoto za majukumu ya dunia ya leo elimu kama psychological cancelling,philosophy,sociology,medicine ,interprenuar ship ni muhimu katika kujenga na kuongoza taasisi zetu zote za kidini hasa katika enzi hizi za mporomoko mkuu wa kimaadili wa ushoga,usagaji,ulaji rushwa wa wanasiasa,uvunjaji haki za binadamu etc unaotokana na ujinga,umaskini kwa kukosa ajira ba mitaji .
3.uchaguzi wa Askofu basil kuwa askofu mkuu wa ghafla
TAFAKURI
Mahakama yangu ilijiridhisha hali ovu ya hatua isiyo ya kikatiba wala kiungwana ya serikali ya awamu ya sita kujibu hoja kwa mabavu dhidi ya askofu gwajima juu ya mwenendo mchafu na doa la utekaji wa watanzania na hofu ya maisha yao kuwa kanisa lilipaswa na limefaa kumkaimisha Askofu mwingine kwa ustawi wake.
Aidha mahakama haikupata nyaraka za mchakato ila ilitafakuri pia kuwa kabisa Katoliki limesha sema na hata kusoma makanisani yote aliyotuhumu gwajima hata kuyasoma madhabahuni mwao kila jumapili ila mahakama yangu na wazee wake tulikubaliana serikali haizitendei kwa usawa dini kwani waislamu (wengi wasunni) wamekuwa na kauli za kinafiki kwa kuwa bakwata ni baraza chawa na waislamu huru kama sheikh ponda kupitia magumu kwa kuunga mkono hoja kinzani na serikali.
HATI YA HUKUMU
Mahakama kwa sauti moja imetupilia mbali tuhuma na mashitaka yote .Aidha inatoa onyo ikiambatana na karipio kali kwa wote wasio toa heshima kwa viongozi wa dini na kuhoji hoji mifumo yao ya ndani wakati mahakama imejiridhisha watuhumu na watuhumiwa wote wanamakasoro mazito na inatoa rai wote kukazana kujikosoa na kujiboresha .
Kwa maelezo haya hukumu ni kuwa BABA ASKOFU MKUU BASIL (Kama mahakama inavyomtambulisha na kumtambua rasmi) aheshimiwe na kuungwa mkono na jamii nzima kulisimamia na kulikuza kanisa lao.
NAKALA: WASHITAKI ,WASHITAKIWA NA MAKUNDI YOTE YA KIJAMII.
24/06/2025
HAKIMU: THE ONLY JF SENIOR MEMBER
(MUHURI RASIMI NA SAHIHI)