JWTZ Wakanusha taarifa za kuibiwa Kifaru

JWTZ Wakanusha taarifa za kuibiwa Kifaru

JWTZ yakanusha taarifa za kuibwa kwa kifaru, lasema taarifa hizo hazina ukweli, lasisitiza ulinzi katika maeneo ya jeshi uko imara.

Hata hivyo Jeshi hilo limelitaka Gazeti la Dira kuomba radhi Mara moja wakishindwa kufanya hivyo hatua Kali na za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.

ClY_I9oVAAEsSEt.jpg:large

Chanzo: ITV
Kwenye gazeti inasema ni stori ya mahakamani sioni kosa la Gazeti
 
Wakidhibitiwa hawa makanjanja utasikia oooh wanarudisha nyuma demokrasia,uhuru wa vyombo vya habari na majungu mengi sasa mukipewa uhuru ndio kuandika utumbo.
Ombi langu kwa serikali vyombo vyote vya habari vitoe taarifa zao kutoka katika vyanzo vya vyombo vya Serikali na sio kujitafutia habari zao za uzushi.
Acha kukurupuka na kutoa mapovu jambo usilolijua Gazeti limeandika ni kesi ya mahakamani watuhumiwa wametajwa Huo ukanjanja uko wapi?
 
Mwandishi ameenda mahakamani na kuikuta kesi inaendeshwa, na hata hakimu alishangaa. Nadhani jeshi lilitakiwa limkomalie aliyewafungulia kesi ya kuiba kifaru wale wananchi
Bado nina ukakasi mkubwa na huyo aliyeendesha hicho kifaru! Hawezi kuwa mwananchi wa kawaida hata kidogo...ni mtu mwenye know how na vifaru na mambo ya kijeshi
Na hata hao waliokamatwa inawezekana kabisa hawahusiki hata kidogo
Napata picha ya kuogofya kuwa inawezekana kulikuwa na dalili za uasi kwenye kambi husika, na kwa kuanzia zilianza kuondoka silaha nyingine kabla ya hiyo kubwa... huu si mpango wa mtu mmoja
Inawezekana kabisa pia kuna kitu kilitokea kikavuruga mipango yote na kifaru kikatelekezwa kijijini na wananchi wakauziwa jumba bovu
 
Nakubaliana na wewe kabisa na umeandika kile nilichotamani nikiandike mimi pia, JW waeleze ukweli utakaokanusha ule ukweli wa DIRA, sio short statement zisizo na kichwa wala miguu
Sure!!!!
 
Nakubaliana na wewe kabisa na umeandika kile nilichotamani nikiandike mimi pia, JW waeleze ukweli utakaokanusha ule ukweli wa DIRA, sio short statement zisizo na kichwa wala miguu
mkuu mbona umebadilisha avatar yako ya Anoldi bleck and white ile?? Tulikuzoea na ile picha
 
Wapendwa naomba mnisaidie hili nimesoma hilo gazeti la dira nikaogopa kidogo kama si sana tu
Jaman hivi kama kweli watu 20 wanatuhumiwa kwa kuiba kifaru kosa ni la Nani?
Je wenye jukumu la ulinzi walikuwa hapo katika Lindo?
Je uhifadhi wa zana hizo za kivita ktk jeshi huwekwa wapi nje kama yadi za magari au chumba maalumu kama godown?
Lakn ikiwa kifaru kinaweza kuibiwa vp kuhusu silaha zingine ndogo kama bunduki,mabomu na vingine kama hivyo vina usalama kweli?
Na vp kuhusu ulinzi wa mipaka ya nchi kwa upana wake?
Hili sitaki kuliomba lakn iwapo kama kweli hili limetokea je ushindi dhidi ya adui wa Tanzania utakuepo?
Siwezi kustaajabu hili maana nilisoma na kuona baadhi ya picha kwenye mitandao ya jamii Twiga kubebwa ktk ndege huku askari pori wakiwa wapo na bila shaka walishika doria
Naomba sana tusifanye mzaha na vitu hivi maana mshangao na sifa yake si nzuri tena hakuna kufurahi katika hilo Bali tuchukue tahadhari. Naombeni majibu ya maswali yangu angalau nipumzishe zawadi ya Mungu aliyetupa ili tuweze kufikiri (ubongo)
 
Wakidhibitiwa hawa makanjanja utasikia oooh wanarudisha nyuma demokrasia,uhuru wa vyombo vya habari na majungu mengi sasa mukipewa uhuru ndio kuandika utumbo.
Ombi langu kwa serikali vyombo vyote vya habari vitoe taarifa zao kutoka katika vyanzo vya vyombo vya Serikali na sio kujitafutia habari zao za uzushi.

Source ya habari iwe serikali na kuthibitishwa na serikali?
 
Wakuu hebu tazameni anuani zenu mlipo kwa sasa kwa umakin mkubwa.....huenda mnadhan mko Tanzania kumbe siku nyingi mmeibwa mko malawi......kama tank limeibiwa tena jeshni aaa ni wazi.....nch haijafunga mlango....hebu jitazamen kama kweli mko Tanzania
 
Katika nchi ya utawala bora JW wasingekuja na majibu mepesi kwa suala zito kama hili .
 
Wapendwa naomba mnisaidie hili nimesoma hilo gazeti la dira nikaogopa kidogo kama si sana tu
Jaman hivi kama kweli watu 20 wanatuhumiwa kwa kuiba kifaru kosa ni la Nani?
Je wenye jukumu la ulinzi walikuwa hapo katika Lindo?
Je uhifadhi wa zana hizo za kivita ktk jeshi huwekwa wapi nje kama yadi za magari au chumba maalumu kama godown?
Lakn ikiwa kifaru kinaweza kuibiwa vp kuhusu silaha zingine ndogo kama bunduki,mabomu na vingine kama hivyo vina usalama kweli?
Na vp kuhusu ulinzi wa mipaka ya nchi kwa upana wake?
Hili sitaki kuliomba lakn iwapo kama kweli hili limetokea je ushindi dhidi ya adui wa Tanzania utakuepo?
Siwezi kustaajabu hili maana nilisoma na kuona baadhi ya picha kwenye mitandao ya jamii Twiga kubebwa ktk ndege huku askari pori wakiwa wapo na bila shaka walishika doria
Naomba sana tusifanye mzaha na vitu hivi maana mshangao na sifa yake si nzuri tena hakuna kufurahi katika hilo Bali tuchukue tahadhari. Naombeni majibu ya maswali yangu angalau nipumzishe zawadi ya Mungu aliyetupa ili tuweze kufikiri (ubongo)
Haikuwa wizi wa kawaida na waliofanya hivyo sio wananchi (mark my words) kulikuwa na kitu kingine kibaya zaidi kikubwa zaidi ambacho kwa sababu zisizojulikana kilisitishwa kuna siku kitakuja kujulikana
 
Ukweli tarifa iyoo imetushitua mno nanijambo la busara jwtz kwauamuzi ambao wameamua kuchukua kukanusha
 
Back
Top Bottom