JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

Kiukwel vile vipolisi vya kofia nyekundu (red Barret) vinaonekana kuwa fit kuliko hata jwtz wazembe, vifua vimetanuka, mikono yenye nundu...
Wale wamekuwa trained kutuliza vurumai. Wale wenye redberet ni wing maalum ya jeshi la polisi. Ni mafundi wa field face to face fight. Watu wenye mizuka ya hasira mwisho wa ni pale. Mageraza na wao wana kikosi chao maalum kinaitwa KM ( Kikosi maalum cha kuzuia fujo magerrzani( hawa jamaa hawafai kama vile FFU.
 
Kuna kikosi maalum ambao ni paramilitary, yaani mafunzo yao ni ya polisi pamoja pia na ya kijeshi. Wao wapo general, wanaweza wakahusika kwenye shughuli za kijeshi na pia shughuli za polisi wa kawaida. Kama vile SWAT wale wa Marekani

Hii hapa picha ya mmoja wao

General%2BService%2BUnit%2BRecce.jpg

1.jpg

Hii special force ya Polisi Kenya inaonekana si mchezo!!

Nimependa hiyo picha hapo chini..great composure, body toughness, braveness, and determination. Yaani masoja yamenoga kwenye gwanda kama ya SWAT ile ya USA.

Kudos wajaluo!!
 
Wale wamekuwa trained kutuliza vurumai. Wale wenye redberet ni wing maalum ya jeshi la polisi. Ni mafundi wa field face to face fight. Watu wenye mizuka ya hasira mwisho wa ni pale. Mageraza na wao wana kikosi chao maalum kinaitwa KM ( Kikosi maalum cha kuzuia fujo magerrzani( hawa jamaa hawafai kama vile FFU.
Wale wa magereza ndo hatari kuliko hata baadhi ya wajeda wanaoijidai kwa kuvaa magwanda, wanadhibiti wahalifu sugu, wako poa kuanzia hand to hand combat. Ila JWTZ hatari iko 92kj ngerengere/sangasanga hawa sio watu ni wanyama tu, wamebobea kimafunzo na wako more practical, hao ukimchezea within a few seconds hujitambui hoi.
 
Kiukwel vile vipolisi vya kofia nyekundu (red Barret) vinaonekana kuwa fit kuliko hata jwtz wazembe, vifua vimetanuka, mikono yenye nundu...

Alafu vinajiitaga fukafuka wakuu sijui hata vina maana gani!? navipendaga saana vikikaa kwenye magari yao ya difenda zile full konfidence, and pia mode ya kijeshi na kipolisi ikiwa activated and on always.

Sema sipendi maana huwa hawafikirii kwa akili yao vikiambiwa piga wale...kwanza mnatupiwa viazi vya moshi hata muwe laki nane mtakubali tu..ni vibishi dunia nzima!! Ahahaha FFU sina hamu nao maana tuliwahi kugoma ile kishule shule na tukaanzisha vurugu pale pale shuleni bahati mbaya palikuwa na fensi then ile tunaanza tu vurugu ikatokea kama coincidence na gari yao inapita wanatoka lindo, mlinzi aacha akazane kupuliza filimbi kuomba msaaada wa kijeshi...weeeeh!! Sikumbuki zaidi kilitokea nini kwa haraka haraka zaidi ya sauti ikisema kwa ukali "afande ili hapa lipige lipige!!!" Paaah!! Baafa ya hapo nakumbuka tulikutana home na sister angu tukiwa hoi!! Sista kilio na makamasi kibao ashachanwa na senyenge za fensi...unafanya mchezo!! Loh!! FFU sina hamu!
 
Wale wa magereza ndo hatari kuliko hata baadhi ya wajeda wanaoijidai kwa kuvaa magwanda, wanadhibiti wahalifu sugu, wako poa kuanzia hand to hand combat. Ila JWTZ hatari iko 92kj ngerengere/sangasanga hawa sio watu ni wanyama tu, wamebobea kimafunzo na wako more practical, hao ukimchezea within a few seconds hujitambui hoi.
Upo sahihi kabisa mkuu. Hawa Special Forces wa Magereza wako fiti vibaya mno. Wanafanya mazoezi kila siku. Wanajua judo, kungfu, Karate n.k. Kwa ujumla ni wataalamu sana wa hand to hand combat pengine kushinda hata FFU, wana nguvu na uwezo mkubwa wa kumdhibiti mhalifu mithili ya Rusian Spetsnaz. Nawafahamu hawa jamaa vyema kwasababu nilishawahi kukaa nao gereza flani walikuja kwa kazi maalun enzi hizo bado nasoma shule. Special forces wa JWTZ ndio wako smart zaidi maana wamefunzwa kwaajili ya operesheni maalum.
 
Alafu vinajiitaga fukafuka wakuu sijui hata vina maana gani!? navipendaga saana vikikaa kwenye magari yao ya difenda zile full konfidence, and pia mode ya kijeshi na kipolisi ikiwa activated and on always.

Sema sipendi maana huwa hawafikirii kwa akili yao vikiambiwa piga wale...kwanza mnatupiwa viazi vya moshi hata muwe laki nane mtakubali tu..ni vibishi dunia nzima!! Ahahaha FFU sina hamu nao maana tuliwahi kugoma ile kishule shule na tukaanzisha vurugu pale pale shuleni bahati mbaya palikuwa na fensi then ile tunaanza tu vurugu ikatokea kama coincidence na gari yao inapita wanatoka lindo, mlinzi aacha akazane kupuliza filimbi kuomba msaaada wa kijeshi...weeeeh!! Sikumbuki zaidi kilitokea nini kwa haraka haraka zaidi ya sauti ikisema kwa ukali "afande ili hapa lipige lipige!!!" Paaah!! Baafa ya hapo nakumbuka tulikutana home na sister angu tukiwa hoi!! Sista kilio na makamasi kibao ashachanwa na senyenge za fensi...unafanya mchezo!! Loh!! FFU sina hamu!
Tehetehe, zile defender zikiwasha taa na kibendera chekundu, mda mwingine vinavaaga protection devices machoni na handguards mikononi na miguuni hapo ukiviona tafuta chocho usepe ukijifanya mstaarabu utajuta kuzaliwa.... Hapo ni marungu, ngumi, mateke, baada ya kulainishwa na viazi vya pilipili kamasi njenje mtu mzima....
 
Alafu vinajiitaga fukafuka wakuu sijui hata vina maana gani!? navipendaga saana vikikaa kwenye magari yao ya difenda zile full konfidence, and pia mode ya kijeshi na kipolisi ikiwa activated and on always.

Sema sipendi maana huwa hawafikirii kwa akili yao vikiambiwa piga wale...kwanza mnatupiwa viazi vya moshi hata muwe laki nane mtakubali tu..ni vibishi dunia nzima!! Ahahaha FFU sina hamu nao maana tuliwahi kugoma ile kishule shule na tukaanzisha vurugu pale pale shuleni bahati mbaya palikuwa na fensi then ile tunaanza tu vurugu ikatokea kama coincidence na gari yao inapita wanatoka lindo, mlinzi aacha akazane kupuliza filimbi kuomba msaaada wa kijeshi...weeeeh!! Sikumbuki zaidi kilitokea nini kwa haraka haraka zaidi ya sauti ikisema kwa ukali "afande ili hapa lipige lipige!!!" Paaah!! Baafa ya hapo nakumbuka tulikutana home na sister angu tukiwa hoi!! Sista kilio na makamasi kibao ashachanwa na senyenge za fensi...unafanya mchezo!! Loh!! FFU sina hamu!
Hawa jamaa ukiingia kwenye anga zao hawafai kabisa. Ukiwakuta mahali wanatuliza vurumai usipite kabisa maana unaweza usijielewe jinsi ulivoingia kwenye gari yao au hata kwenye chemba ya choo waweza funua uingie.
 
Mm naonaga mara nyingi wanajeshi huwa wanakuwaga wakolofi Na hawapendi kutii Sheria Na ni wadhalilishaji sana mm siku moja nimeshudia mwanajeshi anamchania mwanamke nguo maziwa yote yakabaki nje tena mbele za watu.
Kisa kile kiblauzi kilikuwa kinatualama twa kijeshi.

akome...
 
Hizi habari za JWTZ kuwapiga Polisi au Polisi kuwapiga JWTZ huwa ni za kujirudia kila mara

Sijawahi sikia JWTZ kampiga magereza au zimamoto.

Hasa Polisi mnatia aibu sana! kila siku mnakungutwa nyie! JWTZ wana nini cha ziada cha kuwapiga kila siku. Mbona mnatukunguta sana mkitukamata sisi raia!

JWTZ na POLISI mna ugomvi gani usioisha? sijawahi sikia viongozi wa Polisi au JWTZ wakiliongelea hili.
View attachment 344869

jwtz kwa jinsi alivyo jifunza anauwezo wa kumfahamu askari yeyote hata akiwa kwenye daladala, na vilevile anaweza kumsaidi mtu akiwa na shida kwa moyo mmoja, tofauti na police wao pesa mbele na akiona mtu kakosea hata kidogo na kwa kutokuelewa kwao kwa kushindwa kuwasoma watu, ndio maana wakati mwingine police wanawakamata hata wakubwa wao na ananga 'anga 'anua kutengeneza mazingila ya rushwa matokeo yake anakuta anaomba rushwa kwa bosi wake kinanuka, askari anatakiwa kuwa smart, unamsoma mtu alivyo na anavyoongea na anavyokujibu unapomuuliza swali tayari unatakiwa ujue mtu huyo ni wa aina gani. SASA KINACHO WAPONZA POLICE NI ILE TABIA YAO YA ANAPO MPATA MTU NA KOSA ANASHINDWA KUMSOMA, ANAPOTENGENEZA MAZINGILA YA RUSHWA ANAKUTA KUMBE MJEDA, NA MJEDA HATAKI UONEVU ANAKUTA ANAPIGWA. ah! police kunavitu vya ziada wanatakiwa kujifunza au kufundishwa la sivyo kila siku watadhalilishana tu.
 
Tatizo ni moja tu....wote wanatumia nguvu kuliko akili...kwa hiyo ile hali yakufikiria jambo hata kidogo tu kwa akili ya kawaida inakuwa haipo...kuna wakat katika maisha unatakiwa kutumia akili na siyo nguvu
 
jwtz kwa jinsi alivyo jifunza anauwezo wa kumfahamu askari yeyote hata akiwa kwenye daladala, na vilevile anaweza kumsaidi mtu akiwa na shida kwa moyo mmoja, tofauti na police wao pesa mbele na akiona mtu kakosea hata kidogo na kwa kutokuelewa kwao kwa kushindwa kuwasoma watu, ndio maana wakati mwingine police wanawakamata hata wakubwa wao na ananga 'anga 'anua kutengeneza mazingila ya rushwa matokeo yake anakuta anaomba rushwa kwa bosi wake kinanuka, askari anatakiwa kuwa smart, unamsoma mtu alivyo na anavyoongea na anavyokujibu unapomuuliza swali tayari unatakiwa ujue mtu huyo ni wa aina gani. SASA KINACHO WAPONZA POLICE NI ILE TABIA YAO YA ANAPO MPATA MTU NA KOSA ANASHINDWA KUMSOMA, ANAPOTENGENEZA MAZINGILA YA RUSHWA ANAKUTA KUMBE MJEDA, NA MJEDA HATAKI UONEVU ANAKUTA ANAPIGWA. ah! police kunavitu vya ziada wanatakiwa kujifunza au kufundishwa la sivyo kila siku watadhalilishana tu.
Usilolijua ni kama usiku wa giza totoro. Kama hujui tofauti ya majeshi hayo, utabaki na umbumbu wa kudumu lkn ikiyajua, utagundua kwa nini wanatifuana na kwa nini isiwe zima moto na magereza.

Viapo vya kazi zao ni tofauti sana. Wakati jwtz wanaapa kulitumikia taifa katika kulinda mipaka ya nchi, polisi wanaapa kusimamia sheria(objectivity) na kulinda raia na mali zao.

Kwa imani yangu, polisi aliyeiva hata akiwa na msuli kiasi gani, kama anajitambua, hapaswi unyanyua mkono ili kumpiga mtu, labda kujilinda tu. Polisi anakupiga na sheria anayoisimamia wkt jwtz kwake ni fahali kupigana.
 
Back
Top Bottom